FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Majirani mnaligi gani inaendelea....??! Tarehe 3 June loading.. Karibuni majirani
 
Aaah jamani nilisahau leo Messi katinga footwear mpya kabisa zinaitwa Nemeziz -hii ni product mpya kabisa ya viatu vya Adidas
 
Man Pagan bora ulale uwahi kesho sunday school. 😉🙂


Man nipo Unibet, nna screen zaidi ya tano naangalia football, tennis, baseball, basketball na makilakitu. Nna deposit ya €85 inanilinda hivyo na weekend hii hapa kulala labda majogoo.
 
Tumepata kifuta machozi. Wachezaji wapya wamepata chochote. Hapa hatulazi mtu njaa.
 
Kuweka kumbukumbu sawa hiki ni kikombe cha pili, Spanish super cup Sevilla wanajua tuliwafanya nini nje ndani mwanzo mwa league msimu 2016-2017
Hakunaga kikombe kidogo kwenye sports mbona Celta waliwanyoa watu kwa moto?
 

Tunaona influence ya Perez[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…