FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Deal ya Lucas Lima imekamilika. Anasubiri kutangazwa tu. Atakuja January mkataba na Santos ukiisha. Watu fans wengi hawajafurahia ujio ila jamaa anakipaji na anaweza kuwa mtu muhimu sana kwa timu.
 
Reactions: PNC
Deal ya Lucas Lima imekamilika. Anasubiri kutangazwa tu. Atakuja January mkataba na Santos ukiisha. Watu fans wengi hawajafurahia ujio ila jamaa anakipaji na anaweza kuwa mtu muhimu sana kwa timu.




wa kawaida sana jamaa labda yule dogo vitinho naona kabisa ni attacking midfield mzuri kama countinho wa baadae pale barca
 
Kama dortmund wanazngua
Kwann tusimchukue ata Innack William wa pale bilibao
Dogo yuko poa sana. Sema barca walimtaka Dembele kwaajili ya future na vile walimkosa mwaka jana ila hatuna tatizo la winga kwa sasa.
 
Reactions: PNC
Messi katimiza miaka 30,ndani ya miaka 3 tu toka sasa dunia itakosa kitu adimu sana katika soka,huenda kiumbe cha uwezo huu kitakuja tena baada ya miaka kama 30 ijayo wengi humu huenda hatutakuwa hai tena!!Jihesabie ulikuwa mwenye bahati sana kuwahi kumuona Messi akicheza.Barca mmejiandaaje maisha bila Messi???Njia rahisi ya kujiandaa....expect no another Messi for the rest of your life.
 
Sijui Wanaosema eti P.Dybala ndo mrithi wa messi sijui Tuwa Describe vipi
"i expect no another Messi for the rest of my life"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…