Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni Euro (€ ) 400m sio pound £400mThis is official king kama kawaida na kama ilivyotarajiwa kuwa yeye ni mfalme wa dunia akiungurumisha trumphet kutoke viwanja vya Camp Nou atasaini 3 years na kama unataka kumnunua utampandia na dau sio ya £400 M
View attachment 521295
Hapa tukomae na Verrati. Ndiyo pekee anaweza cheza pale kati na kudictate mchezo. Playmaker wa ukweli. Hawa attacking midfielders wanaweza tulostisha. Unainaje mkuu?Messi amepewa jukumu la kumshawishi Angel Dimaria ajiunge na Barca (rumours)
Sijajua rumours za Coutinho zimeishia wapi
nina doubt kama kweli huyu ata fit kwenye jigsaw puzzleSijui kwanini. Sifurahii ujio wa wa Bellerin Barca. Naona kama hataweza mpira unaotegemea possesion. Anaweza sana mpira wa kukimbiakimbia. Lakini ni RB mzuri ni vile tu naogopa anaweza asifit.
Hapa tukomae na Verrati. Ndiyo pekee anaweza cheza pale kati na kudictate mchezo. Playmaker wa ukweli. Hawa attacking midfielders wanaweza tulostisha. Unainaje mkuu?
BREAKING : PSG midfielder Marco Verratti is set to join FC Barcelona after PSG accepted a bid of £75 Million from the Spanish club,the player is due to have his medical on Monday![DansTesRêves]
mkuu unauhakika chanzo chako? maana mitandaoni naona anataka kwenda RM.BREAKING : PSG midfielder Marco Verratti is set to join FC Barcelona after PSG accepted a bid of £75 Million from the Spanish club,the player is due to have his medical on Monday![DansTesRêves]
BREAKING : PSG midfielder Marco Verratti is set to join FC Barcelona after PSG accepted a bid of £75 Million from the Spanish club,the player is due to have his medical on Monday![DansTesRêves]