Kama ile mechi ya kwanza na juve. Kamuanzisha Mathieu amkabe Cuadrado! Cuadrado mwenye spidi. Eti alitegemea Mascherano amkabe Chiellini mpira wa kichwa! Ndiyo aliyefanya tuonekane kituko msimu huu. Am glad ameenda.
Mkuu Man Verrati alivyo wa moto mbona watatafutana aisee