Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tena
We back on business nxt season [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
Angalia Barca na Madrid timu ipi inavijana wengi nyie Messi akiisha ndo mmepotea kabisaYou dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tena
We back on business nxt season [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
It matters ndio maana umeandika.Doenst Matter if Madrid Won The Trophy! We still Love Barca,
Because to us Barcelona is not only the Football Team Its our Religion!
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]!Code:cc: TheMason
fact mkuuNingekua mimi ni Velverde ningehitaji wachezaji wa Barca wakatishe likizo zao ziwe siku 20 tu ,then nawaingiza camp yakujenga pumzi ,techniques individual na team na tactics original kabisa za tik tacka
Bayern hawamuuzi Thiago,Rosell na Batromeu walichemsha kumuuza.Sanchez hawezi kuja kukaa benchiThiago Alcantara na Alex Sanchez wanatakiwa warudishwe catalan tuunde kikosi cha kuchukua UEFA kabisa mapema....!!hawa madridasta wamekera sana
Anaweza akatugea one chance tenaBayern hawamuuzi Thiago,Rosell na Batromeu walichemsha kumuuza.Sanchez hawezi kuja kukaa benchi
Nyie mnaosema Barca wanazeeka focus zenu ni za kijinga Barca wana young players wengi ambao wametolewa kwa mkopo(lamasia products) na wengine Louis Enrique alikua hawatumii
mkuu waache jamaa wakale bata Ibiza. tulipokosea tunapajua. tukirudi na MF, RB na RW wa maana hizi timu zinazorukaruka na kukimbiakimbia hazitatukamata kabisa. tungeana na Semedo kwenye RB. Hector anaspidi lakini hana skills za kuchezea mpira na kudribble. tunarekebisha ishu ndogo na kurudi ontop.Ningekua mimi ni Velverde ningehitaji wachezaji wa Barca wakatishe likizo zao ziwe siku 20 tu ,then nawaingiza camp yakujenga pumzi ,techniques individual na team na tactics original kabisa za tik tacka
Ametuzingua sana. Japo mafanikio binafsi kapat. UCL moja. La liga 2. CDR 3 na supercup 3. vikombe 9 kati ya 13 alivyoshindania. Majirani wamegombania hivyo vinne vilivyobaki.bila experiment za lucho tulikuwa tuna nafasi kubwa kuingia fainali kuwapiga wale mbwa na kuchukua matatu tena....poor lucho
Ametuzingua sana. Japo mafanikio binafsi kapat. UCL moja. La liga 2. CDR 3 na supercup 3. vikombe 9 kati ya 13 alivyoshindania. Majirani wamegombania hivyo vinne vilivyobaki.
Kama ile mechi ya kwanza na juve. Kamuanzisha Mathieu amkabe Cuadrado! Cuadrado mwenye spidi. Eti alitegemea Mascherano amkabe Chiellini mpira wa kichwa! Ndiyo aliyefanya tuonekane kituko msimu huu. Am glad ameenda.Jamaa katufanya tumekuwa na hasira yani kuna mechi za umuhimu anamuanzisha mathieus sijui alikuwa anatoa wapi viumbe wake wa ajabu
Akija man Verrati hizi timu mbovu zinazokimbiakimbia zitahenya sana. Natamani tuvunje kibubu tumpate Verrati, Semedo na Dembele. CB tunamuongeza Mina January.watuletee verrati pale kati hiyo ndio itakuwa dawa ya mabishoo