hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Mkuu naona kama upo wrong barcelona n nafasi ya pili ktk vwango vya fedha afu achana na ivyo barca inauwezo wa kulipa wachezaji ela zuri ka Messi na neymar ndo washndwe kununua ao kina veratti....ishu apo sio fedha bali ni kutokuwa serious ktk usajiliBarca hawana fedha,hawana kocha mwenye ushawishi,hawana kiongozi mwenye ushawishi tangu aondoke Juan Laporta ndio maana wanapata taabu sana kwenye usajili