FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca hawana fedha,hawana kocha mwenye ushawishi,hawana kiongozi mwenye ushawishi tangu aondoke Juan Laporta ndio maana wanapata taabu sana kwenye usajili
Mkuu naona kama upo wrong barcelona n nafasi ya pili ktk vwango vya fedha afu achana na ivyo barca inauwezo wa kulipa wachezaji ela zuri ka Messi na neymar ndo washndwe kununua ao kina veratti....ishu apo sio fedha bali ni kutokuwa serious ktk usajili
 
Kuwalipa Neymar,Messi mishahara mikubwa ni sababu pia ya kutosajili wachezaji wengine ambao wata-demand mishahara mikubwa .Wage bill yao hairuhusu kuwa na wachezaji wengi wenye mishahara mikubwa lakini Neymar +Messi karibia kila msimu wanaongezewa mshahara
 
Reactions: PNC

Velverde na Crew yake preparation are ready for new season
DAY 1 HIYO WAZEE....tarehe 12-July wachezaji wote wanatakiwa wawe wamerudi ready for the season -kama kuna mwenye swali uliza utajibiwa
 
Kuhusu usajili tulizeni munkari tutafanya mambo mtafurahi hata Verrati anang'oka PSG he is our fan however my wish namuhitaji attacking midfield na RB basi
 
Nawaleteeni kwenu Vitonho.....the young magician atajaribiwa kwenye pre-season akifaa atanunuliwa kwa Pound Mil 12 ,he is still a mediocre player but very potential kama Marlon tubbeki wetu kinda kutoka Santos
Mark my words hawa watu baada ya miaka 4 ijayo ni watu hatari sana hasa Marlon
 
Preseason exercises zimeshaanza wakuu tayar nusu ya kikosi kimesharudi tayari kabisa kwa mazoezi hapa wakiwa wanafanyiwa medical examination
 
Reactions: PNC
Messi anamalizia honeymoon,Neymar ,Basquets,Pique ,Alba J,wako Japan kwenye presentation ya sponsor RAKUTEN
 
Reactions: PNC
Barca hawana fedha,hawana kocha mwenye ushawishi,hawana kiongozi mwenye ushawishi tangu aondoke Juan Laporta ndio maana wanapata taabu sana kwenye usajili
Si kweli Barcelona haijawahi kuwa na kocha mwenye ushawishi huo kuanzia Rijkaard,pep,Tito,Tata hata lucho mbona classic players wamesajiliwa

Mfano verratti kalazimisha aende Barca lakini waarabu hawataki ,Nasser hataki kufanya negotiation ,paulinho pia anataka lakini mapedeshee wa china hawataki.

Ishu sio wachezaji bali matajiri waliovamia soka

Kama pesa mbona waliweka mezani 100 kwa verratti kwa paulinho huwezi kuweka 40 kwa mchezaji mwenye miaka 29
 
Hii bodi yabarca inaonekana ni ya kipigaji sana wanahitaji wachezaji wa beei cheee subiri t mda Raisi akiondoka madarakani ndio mtajua hiii bodi ya kipigaji
Cc: Sandro Rossel
 
habari njema Kwa cules wote. Semedo kesho anafanya vipimo kujiunga nasi. RB wa kimataifa mwenye miaka 23, *****!

Tayari ameshasajiliwa swali langu kwangu is this the worst or best signing???Nauliza tu
Halafu Barca na Benfica wana mkataba gani maana naona jamaa kuchukua players kule ni rahisi sana ,
 
Nelson Semedo he is young ,determined and ambitious player tumuombee a fit mifumo ya Barca kama Umtiti na yule dogo Marlon itakua fire
 
Huyu ndio Semedo na hizi ndio baadhi ya particulars za deal yake ya transfer
Kwahiyo habari za Bellerin tena tuzisahau kabisa ,hii ndio RB ,plan B ya Verrati ni nani?
Inasemekana Semedo ana potential zaidi ya Renalto Sanchez
 
Reactions: PNC

Sometimes kwenye sports hela sio kila kitu huu ni mfano mzuri sana wa hawa jamaa zetu Madrid simply the are wasting money so jamani tulieni tuone Velverde atatufanyia nini so long as we still have best players
 
Reactions: PNC
View attachment 541714
Sometimes kwenye sports hela sio kila kitu huu ni mfano mzuri sana wa hawa jamaa zetu Madrid simply the are wasting money so jamani tulieni tuone Velverde atatufanyia nini so long as we still have best players
Mbona hujaweka statistics za kina Ada Turan,Paco Alcacer na Andre Gomes ?

Siku hizi Perez amekuwa smart sana kwenye usajili wa wachezaji angalia usajili aliofanya miaka 4 iliyopita amepromote wachezaji wengi toka Castila na wengi ni chipukizi na bei chee (Kroos,Kovacic,Carvajal,Casemiro,Asensio,Vasquez,Nacho,Morata,Theo Hernandez,Llorente,Cabellos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…