Taarifa mbaya kwa timu yetu ni kua Neymer kautaarifu uongozi wa fc barcelona kua anataka kuondoka msimu huu kutokana na sababu kuu 2, 1. Amechoshwa kucheza chini ya kivuli cha Lionel Messi so anataka akacheze timu ambaye yeye ndo atakua baba mwenye team, 2. Amechoshwa na utaratibu wa kulipa kodi wa Spain, team 4 zimeonesha nia ya kulipa paundi milioni 175 kwa ajili ya kumnunua Neymer, timu hizo ni Man United, Man City, Real Madrid na PSG ambao wapo radhi kutoa Euro milioni 122 pamoja na kiungo Marco Verati ambaye anatafutwa kwa udi na uvumba na Fc Barcelona ili waweze kumnasa Neymer
Sent from Samsung Galaxy s8+