FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya hapa chini si maneno yangu bali ya Simon Lyon wa BBC Sport.....lakini nakubaliana nayo 100% (hata results ilitakiwa iwe 5-1 or 6-1!!!)


"Simply put - the greatest club side of a generation, yeah? Barcelona were sensational tonight, leaving Manchester United outpassed, outfought, out-thought and outclassed".
 
Barca walitumia uchawi aisee. Yule mtoto Chicharito anayechachafya mabeki nimekuja kumuona wakati anasalimiana na wenzake baada ya mpira kwisha. Hivi ni kweli alikuwa uwanjani muda wote?
 
wapenzi wa man utd poleni,sana.ila barcelona ni mziki mwingine hilo halina ubishi.walistahili ushindi,ila babu(giggs) leo amechemka vibaya.
 
Barca walitumia uchawi aisee. Yule mtoto Chicharito anayechachafya mabeki nimekuja kumuona wakati anasalimiana na wenzake baada ya mpira kwisha. Hivi ni kweli alikuwa uwanjani muda wote?

Alikuwepo yes!!
 
Tukubali yote lakini BARCA wanacheza sana mpira, kwa sasa hivi timu ya kuifunga labda CHELSEA or INTER MILAN.....United hatuna kikosi cha kucheza na hawa jamaa tukubali tu!!
 
Kiwango cha barca kwa sasa kinatisha duniani!! Inabidi iundwe tume ya kuidhibiti otherwise miaka yote timu nyingine zitakuwa wasindikizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…