FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wee nae leo ingecheza arsenal ungefyata...naangalia bado dear na Messi ametangazwa ni Man of the Match!!..He deserve it!!

Hongera Barca, very good job!!!..japo mmeniharibia wikend!
ha haaaaaaaaaaaa ndo maana imecheza BARCA....l.o.l....em angalia tu mjitahidi next time dear wangu!!:dance::dance:
 
kutocheza awali PUYOL ndiyo mwanzo wa man u kufungwa!puyol angekua uchochoro!bravo pep
 
Sikuona Mchango wa Mtoto Chicharito kabisa leo sijui kwanini SAF hakumtoa na kumuingiza Bebatov
 
It is official, BARCA is the best team in the World...Congrats!

Hahaaaaaaaaaaa........................It's the best team in Europe bana....

As for now the best team in the world is Inter Milan,The World Club Champions(wliwafunga TP Mazembe Englebert 3-0 kwenye final ya World Club Championship)
 
Kama kawa! halaf huduma zote zinazokuhusu wewe na Preta kwa mwezi huu nitalipa mimi. Wale washabiki wa Manu wanashauriwa kwenda kupima afya zao kesho mapema ili kuangalia kama ile mishtuko ya mara kwa mara haikuwaathiri.

Good Idea....thank you Kloro...you are a good person!
 
Invisible huko aliko atakuwa anashangilia saaanaaa............
 
mko wapi hahahahahaaa
raha raha!!waukweli barcelona
 
hao ndo barca timu bora duniani na timu inayocheza mpira wa kuvutia kuliko klabu yoyote duniani.safi sana barca kwa kuwanyamazisha man u ambao walikuwa wanachonga kinoma.
 
hehehe walifkiri hii ni Carling cup? wazembe Manu bana! Aisee yaani leo kama kuna mdada anajiskia kunichuna alete account number tu.
 
Hahaaaaaaaaaaa........................It's the best team in Europe bana....

As for now the best team in the world is Inter Milan,The World Club Champions(wliwafunga TP Mazembe Englebert 3-0 kwenye final ya World Club Championship)


Haya Mkuu...lakini sidhani kama Inter wanaweza kukipiga na BARCA na kushinda katika mchapo huo.
 
Mbu sijui yuko wapi leo maana michapo mikubwa mikubwa kama huu wa leo ni lazima awepo jamvini
 
Back
Top Bottom