FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Usiende bana.....kaa kaa mpaka wakati wa kuchukua kombe tusherehekee pamoja......nini lakini BJ

Muache aende zake....sitaki watu walionuna wakati wa kusherekea kombe.....!!!!

Hongera BARCA.......you made my day!!!!
 
Kuna tofauti kati ya Timu bora na club bora. Kuna club nyingine ni bora lakini hazina timu bora
 
only arsenal ndio alifanikiwa kumfunga barca katika english soil... Good nyt! Manutd fans! ...
 
Webb hakuchezesha leo as a result Man U wamelijua jiji na vitongoji vyake. Chenga mmeliwa na bao mmepigwa. :biggrin1:
 
Zile champagne zenu mlizo ficha zitakuwa chungu kama shubiri mkilazimisha kunywa leo.subirini kwanza maumivu ya ishe ndio mnywe; weekend ijayo.
 
only arsenal ndio alifanikiwa kumfunga barca katika english soil... Good nyt! Manutd fans! ...
Get your facts straight 2008 Man Utd waliwafunga Barca kwenye 1/2 final ya Champions League.
 
Muache aende zake....sitaki watu walionuna wakati wa kusherekea kombe.....!!!!

Hongera BARCA.......you made my day!!!!

wee nae leo ingecheza arsenal ungefyata...naangalia bado dear na Messi ametangazwa ni Man of the Match!!..He deserve it!!

Hongera Barca, very good job!!!..japo mmeniharibia wikend!
 
Duhh hands down....Barca pamoja na kwamba uchezaji wao siupendi.......hongera zao....naona washabiki wa Chelsea Arsenal na Liverpool wana furaha sana leo hii............
 
MAN U yenyewe huipendi.....Naipenda Barcelona.....Hongera Barcelona....VIVA!!!!

You are the Best......:dance::dance::dance:

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Siwapendi Barca aisee...

Mimi kule La Liga kwangu ni Santiago Bernabeu......Los Merengues
 
napenda sana sura za MAN U wakifungwa......:dance::dance::dance:
 
Tangu ulipotabiri mi niko tayari,mpitie Preta basi tuanze......thank you BARCA!!!

Kama kawa! halaf huduma zote zinazokuhusu wewe na Preta kwa mwezi huu nitalipa mimi. Wale washabiki wa Manu wanashauriwa kwenda kupima afya zao kesho mapema ili kuangalia kama ile mishtuko ya mara kwa mara haikuwaathiri.
 
Kwa uchezaji huu wa Barca most likely timu za Ujerumani na timu za Italy ndio zinaweza kuwafunga.....kwa sababu wanajua kukaba.......timu ya Uingereza ambayo inaweza kuipelekesha Barca kwa Staili hii ni Chelsea peke yake.....kwani Chelsea huwa wanakaba.............

Mashetani wekundu hawakabi kabisa..........wee angalia jinsi mchezajimmoja wa ManU akishika mpira jinsi ambavyo wachezaji wa Barca walivyokuwa wakimzonga..............kweli ManU walistahili kufungwa.......
 
Back
Top Bottom