Startimes wanaonyesha ila sijajua ni channel gani ngoja nikutafutieNeed help please,kwa sasa niiko usukumani village,mpira wa leo nauangalia vipi?? nina roaming internet but usual websites inakuwa taabu huku. Jamaa akikosa angalia mpira leo naweza pewa divorce-yaani mpaka kaniambia uliza huko kwenye forum yenu
hahahaaaa pole sana dada jack,mimi mara nyingi huwa natumia app ya mobdro ila mtandao uwe vizuri,otherwise kama kwa jirani kuna startimes jichanganyeniNeed help please,kwa sasa niiko usukumani village,mpira wa leo nauangalia vipi?? nina roaming internet but usual websites inakuwa taabu huku. Jamaa akikosa angalia mpira leo naweza pewa divorce-yaani mpaka kaniambia uliza huko kwenye forum yenu
Mpira ni time mbaya,hivyo kwa jirani ni out of question,itabidi tutafute hotel,wenyeji itabidi watusamehe. Hubby lazima atazame huu mpira ili apate kujua nini hasa huyu coach mpya is bringing on the tablehahahaaaa pole sana dada jack,mimi mara nyingi huwa natumia app ya mobdro ila mtandao uwe vizuri,otherwise kama kwa jirani kuna startimes jichanganyeni
Jaribu goatd.net. kwa net za bongo inaweza fanya kazi. Ila muitest kwanza kwa mechi za mwanzo.Mpira ni time mbaya,hivyo kwa jirani ni out of question,itabidi tutafute hotel,wenyeji itabidi watusamehe. Hubby lazima atazame huu mpira ili apate kujua nini hasa huyu coach mpya is bringing on the table
goatd.net kwa jana ilikuwa ina kata sana-maybe weather factors tunajaribu kufanya adjustments ya hii modem yetu hopefully tuta test at least some hours beforeJaribu goatd.net. kwa net za bongo inaweza fanya kazi. Ila muitest kwanza kwa mechi za mwanzo.
Hivi mechi nisaa ngapi huku kwetu?goatd.net kwa jana ilikuwa ina kata sana-maybe weather factors tunajaribu kufanya adjustments ya hii modem yetu hopefully tuta test at least some hours before
Hivi mechi nisaa ngapi huku kwetu?
Shukrani. Mara nyingi huo muda nakuwaga macho. Ntacheki hii ngoma.Saa 7 usku
Ni startimes channel world footaball -match ni saa saba kamili usiku ,lazima nitaiangalia hii match nilimsikia velverde anasema Cruyff Johan anamrudisha pale Camp Nou anasema ni attack attack attack ,mimi shida yangu leo ni style gani na kipi kimebadilika vipi ule mtindo wa kuacha loose nyuma atakua ameu solidify?,aggressiveness ya players left wing,right wing ,midfiel d ikoje ?akifanikisha hapo basi MSN wameshamaliziwa shughuli yakuelekea kutwaa UEFAMpira ni time mbaya,hivyo kwa jirani ni out of question,itabidi tutafute hotel,wenyeji itabidi watusamehe. Hubby lazima atazame huu mpira ili apate kujua nini hasa huyu coach mpya is bringing on the table
Mkuu Red Giant kumbe Messi anafunga magoli mengi kushinda mchezaji yoyoye yule hadi mazoeziniShukrani. Mara nyingi huo muda nakuwaga macho. Ntacheki hii ngoma.
Je huyu Semedo aki overlap anawahi kurudi???? asije akakutwa in no man's landVelverde amemuambia Suarez ana uwezo mkubwa sana wakufunga nje ya Box (18 ) you know what i mean zisubirieni "volley balls" msimu wa 2017-2018
RB mpya Nelson Semedo anapenda sana ku attack so noise makers jiandaeni kushambuliwa kila kwenye pressure point
Wakati nafanya observation ndio moja ya kigezo changu kikubwa hakika amefaulu tena kwa mimi nilivyomuona yuko balanced ana make nabku defend na kurudi kwenye core task (defence) faster ,sifa nyingine ana ball control na possession kubwa sana na bet 80% ata tailor Barca styles kam UmtitiJe huyu Semedo aki overlap anawahi kurudi???? asije akakutwa in no man's land
Well,tunasubiri tuone kwa macho yetu-tuko mjini enjoying the sights,duuh ukweli ni kwamba Magufuli anakaba mpaka mpira wa kona Rock city watu hawana mapesaWakati nafanya observation ndio moja ya kigezo changu kikubwa hakika amefaulu tena kwa mimi nilivyomuona yuko balanced ana make nabku defend na kurudi kwenye core task (defence) faster ,sifa nyingine ana ball control na possession kubwa sana na bet 80% ata tailor Barca styles kam Umtiti