FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Need help please,kwa sasa niiko usukumani village,mpira wa leo nauangalia vipi?? nina roaming internet but usual websites inakuwa taabu huku. Jamaa akikosa angalia mpira leo naweza pewa divorce-yaani mpaka kaniambia uliza huko kwenye forum yenu
 
Startimes wanaonyesha ila sijajua ni channel gani ngoja nikutafutie
 
Need help please,kwa sasa niiko usukumani village,mpira wa leo nauangalia vipi?? nina roaming internet but usual websites inakuwa taabu huku. Jamaa akikosa angalia mpira leo naweza pewa divorce-yaani mpaka kaniambia uliza huko kwenye forum yenu
hahahaaaa pole sana dada jack,mimi mara nyingi huwa natumia app ya mobdro ila mtandao uwe vizuri,otherwise kama kwa jirani kuna startimes jichanganyeni
 
Mpira ni time mbaya,hivyo kwa jirani ni out of question,itabidi tutafute hotel,wenyeji itabidi watusamehe. Hubby lazima atazame huu mpira ili apate kujua nini hasa huyu coach mpya is bringing on the table
 
Jaribu goatd.net. kwa net za bongo inaweza fanya kazi. Ila muitest kwanza kwa mechi za mwanzo.
 
goatd.net kwa jana ilikuwa ina kata sana-maybe weather factors tunajaribu kufanya adjustments ya hii modem yetu hopefully tuta test at least some hours before
 
Mpira ni time mbaya,hivyo kwa jirani ni out of question,itabidi tutafute hotel,wenyeji itabidi watusamehe. Hubby lazima atazame huu mpira ili apate kujua nini hasa huyu coach mpya is bringing on the table
Ni startimes channel world footaball -match ni saa saba kamili usiku ,lazima nitaiangalia hii match nilimsikia velverde anasema Cruyff Johan anamrudisha pale Camp Nou anasema ni attack attack attack ,mimi shida yangu leo ni style gani na kipi kimebadilika vipi ule mtindo wa kuacha loose nyuma atakua ameu solidify?,aggressiveness ya players left wing,right wing ,midfiel d ikoje ?akifanikisha hapo basi MSN wameshamaliziwa shughuli yakuelekea kutwaa UEFA

Kuna clip moja nilikua naangalia wanafanya mazoezi inaonyesha jamaa ana close supervision kiasi inawalazimu wachezaji wajitume upo uwezekano kati ya youngsters ambao tunao na tumewachukua styles za velverde zitam favor na ata shine
 
Bado naendelea kufuatilia strategies na mazoezi ya Barca yanamuhitaji Macherano na Sergio Besquets,Umtiti ,Jordi Alba na RB ,Semedo wawe wanashambulia hii ndo ile attack attack kila sekunde ni Burudani za Velverde
Neymar ameambiwa arekebishe finishing zinatu cost sana
Ama kweli utamu unakuja na Babu Iniesta the painter amefanyiwa job enlargement (activities /roles) za team mbali na kuchonga anatakiwa awe ana attack so ameambiwa a focus
Rakitik ni attacking and defensive roles anatakiwa ali concile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best thing velverde mfumo wake ni high pressing so tunatakiwa adui achezewe nusu uwanja ,bado naendelea kujifunza mengi kwa Velverde
Possession anahitaji kuanzia 75% ana refer kuwa Total football philosophy modified with tick taka alipofundishwa na mzee wa "Cruyyf dummy" darasani aliambiwa hivyo
 
Velverde amemuambia Suarez ana uwezo mkubwa sana wakufunga nje ya Box (18 ) you know what i mean zisubirieni "volley balls" msimu wa 2017-2018

RB mpya Nelson Semedo anapenda sana ku attack so noise makers jiandaeni kushambuliwa kila kwenye pressure point
 
Je huyu Semedo aki overlap anawahi kurudi???? asije akakutwa in no man's land
 
Wakati nafanya observation ndio moja ya kigezo changu kikubwa hakika amefaulu tena kwa mimi nilivyomuona yuko balanced ana make nabku defend na kurudi kwenye core task (defence) faster ,sifa nyingine ana ball control na possession kubwa sana na bet 80% ata tailor Barca styles kam Umtiti
 
Well,tunasubiri tuone kwa macho yetu-tuko mjini enjoying the sights,duuh ukweli ni kwamba Magufuli anakaba mpaka mpira wa kona Rock city watu hawana mapesa
 
Back
Top Bottom