Dyabala mototo mdgo sana kwa neymar hana maajabu alipotea sana final ya UEFA na Madridangeenda tu halafu tulete dyabala mnyama soksi hazipandi juu....dogo kama anataka kujiona mkubwa kuliko timu na dingi mwenyewe tamaaa muda wote
hata King messi huwa awiki kila match isitoshe dybalaDyabala mototo mdgo sana kwa neymar hana maajabu alipotea sana final ya UEFA na Madrid
ni offer nzuri. nimechoka na ishu za kutuweka rohi juu kila msimu. Shenzy zake! tupate verrati na hizo pesa tuongeze 30m tumchukue Dembele au hata Mbappe. Mwache akaporomoke huko PSG na utoto wake. Shenzy sana.Nimesoma article flani hivi inasema PSG wanajianda kutoa offer ya paundi milioni 90 na mchezaji Marco Veratti kwa ajili ya kumsajili Neymer, vip wanablaugrana wenzangu mnaonaje hii offer, je inaweza kua na mantiki kwetu? ikizingatiwa hapo ni sawa na kupata wachezaji 2 World class kwa mchezaji 1
Sent from Samsung Galaxy s8+
Coutinho ni mchezaji mzuri. Ila swala la Neymar kutublackmail tumchukue limeniudhi sana. Ila LP wameng'ang'ania kuwa hauzwi.Et ni kweli tunakarbia kumchukua coutinho?
Yaa viongozi wa fc barcelona wapo jiji la Liverpool kwa ajili ya usajili wa Coutihno ili kumshawishi Neymer kubak BarcelonaEt ni kweli tunakarbia kumchukua coutinho?
Mkuu Liverpool washalegeza kamba tayar wanafanya majadiliano na barcelona though wamesema haondoki mpaka wacheze uefa champions league play offCoutinho ni mchezaji mzuri. Ila swala la Neymar kutublackmail tumchukue limeniudhi sana. Ila LP wameng'ang'ania kuwa hauzwi.
Habari zi ukweli kabisa trend imebadilika coutinho anaweza kutua Camp NouEt ni kweli tunakarbia kumchukua coutinho?
Neymar mchezaji mzuri Ila wapo mbadala wake wengi tu..Dyabala mototo mdgo sana kwa neymar hana maajabu alipotea sana final ya UEFA na Madrid
Umeandika mashuduNeymar mchezaji mzuri Ila wapo mbadala wake wengi tu..
Zaidi ya mbwembwe ni wa kawaida tu
Hueleweki,umesema mchezaji mzur sekunde 3 tu unajisahau unasema mbwembwe tuNeymar mchezaji mzuri Ila wapo mbadala wake wengi tu..
Zaidi ya mbwembwe ni wa kawaida tu
Wazee nawapa little secret :upo uwezekano Paulinho na Coutinho wote wakatua Barca.Pili
Kabla siku ya leo hakujapambazuka kunaweza kukatokea mambo makubwa sana kwenye team ya Barca
Stay tuned
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool wanataka paundi milioni 89 kwa ajili ya CoutihnoSource mbalimbali zina postulate kuwa Barca wameshakubaliana na Coutinho mwenyewe terms zake kwahiyo sasa hivi wanasubiria kuwa convince liverpool