FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

angeenda tu halafu tulete dyabala mnyama soksi hazipandi juu....dogo kama anataka kujiona mkubwa kuliko timu na dingi mwenyewe tamaaa muda wote
Dyabala mototo mdgo sana kwa neymar hana maajabu alipotea sana final ya UEFA na Madrid
 
Nimesoma article flani hivi inasema PSG wanajianda kutoa offer ya paundi milioni 90 na mchezaji Marco Veratti kwa ajili ya kumsajili Neymer, vip wanablaugrana wenzangu mnaonaje hii offer, je inaweza kua na mantiki kwetu? ikizingatiwa hapo ni sawa na kupata wachezaji 2 World class kwa mchezaji 1

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Leo jioni kutakuwa na press conference mjini Miami iliyo itishwa na PSG pia Barcelona wakitofatiana kwa dkk 30 tu, PSG wakiaza. PSG wataaza 11:00 pm kwa mda wa ufaransa na Barca wataaza 11:30 kwa mda wa ufaransa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Nimesoma article flani hivi inasema PSG wanajianda kutoa offer ya paundi milioni 90 na mchezaji Marco Veratti kwa ajili ya kumsajili Neymer, vip wanablaugrana wenzangu mnaonaje hii offer, je inaweza kua na mantiki kwetu? ikizingatiwa hapo ni sawa na kupata wachezaji 2 World class kwa mchezaji 1

Sent from Samsung Galaxy s8+
ni offer nzuri. nimechoka na ishu za kutuweka rohi juu kila msimu. Shenzy zake! tupate verrati na hizo pesa tuongeze 30m tumchukue Dembele au hata Mbappe. Mwache akaporomoke huko PSG na utoto wake. Shenzy sana.
 
Coutinho ni mchezaji mzuri. Ila swala la Neymar kutublackmail tumchukue limeniudhi sana. Ila LP wameng'ang'ania kuwa hauzwi.
Mkuu Liverpool washalegeza kamba tayar wanafanya majadiliano na barcelona though wamesema haondoki mpaka wacheze uefa champions league play off

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Source mbalimbali zina postulate kuwa Barca wameshakubaliana na Coutinho mwenyewe terms zake kwahiyo sasa hivi wanasubiria kuwa convince liverpool
 
Source mbalimbali zina postulate kuwa Barca wameshakubaliana na Coutinho mwenyewe terms zake kwahiyo sasa hivi wanasubiria kuwa convince liverpool
Liverpool wanataka paundi milioni 89 kwa ajili ya Coutihno

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Back
Top Bottom