Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Uzalendo umekushinda!🙂whatever the result,hii M united bado sana
Dogo akicheza naiona copy ya Iniesta kabisa ikiwa inachezaAlena anaifurahisha sana. Huyu dogo ni jembr.
Lukaku hajui hata kupiga chenga huyu player Barca hata bure hatumtaki ,yuko too manual and muscular[emoji23][emoji23][emoji23]HIVI huyu Lukaku anaweza go past a player au mpaka adondoshewe mpira-naona kama yupo yupo tu
Semedo leo kwenye left wing ameifanyia haki sanacares alen yuko vizuri lkn semedo bado anazoea mazingira
Nimemcheki na mimi nimeshangaa. Nafukiri anatafutiwa timu akopeshwe tena. Yeye na mwenzake Sandro maisha ya barca yaliwashinda.Daah nimemuona Munir Al hadad huyu dogo hana bahati sijui na Barca naliona last week velverde amemu hand over na amepewa clearance ya kuuzwa so kwa Barca hatutamtumia (yuko sokoni 100%)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sandro naye wamemu hand over lakini Samper,Marlon wamepenyaNimemcheki na mimi nimeshangaa. Nafukiri anatafutiwa timu akopeshwe tena. Yeye na mwenzake Sandro maisha ya barca yaliwashinda.
Nafurahi sana timu inavyojituma ikipoteza mpira. tukiendelea na nguvu hiyo tutachukua makombe yetu yote.Kuna kitu kiko apparent kabisa kimebadilika kwa Barca ambako ni ku defend ,team inakaba sana kiasi kwamba wapiga counter wote hawana nafasi tena tuna defend collectively,team haikatiki tuko mbele na nyuma muđa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua munir.Alcecer anakosa yeye na goalkeeper daah kuna players Barca ni liability na sio Asset
Sent using Jamii Forums mobile app