FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daah nimemuona Munir Al hadad huyu dogo hana bahati sijui na Barca naliona last week velverde amemu hand over na amepewa clearance ya kuuzwa so kwa Barca hatutamtumia (yuko sokoni 100%)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemcheki na mimi nimeshangaa. Nafukiri anatafutiwa timu akopeshwe tena. Yeye na mwenzake Sandro maisha ya barca yaliwashinda.
 
Kuna kitu kiko apparent kabisa kimebadilika kwa Barca ambako ni ku defend ,team inakaba sana kiasi kwamba wapiga counter wote hawana nafasi tena tuna defend collectively,team haikatiki tuko mbele na nyuma muđa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi sana timu inavyojituma ikipoteza mpira. tukiendelea na nguvu hiyo tutachukua makombe yetu yote.
 
Back
Top Bottom