When brawn meet brain.Wachezaji wa man u wako rough sana wanashika ovyo ,nguvu nyingi daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca B wanawatoa jasho Man UWhen brawn meet brain.
Arda ni kweli kabisa inabidi auzwe kule Asernal nilisikia wanamuhitaji ,anaonekana kabisa amekosa motivation na intensity ya uchezaji,Munir naona hata kujituma kumeisha kabisa ameshaikatia tamaa Barca he doesnt fitHuyu mturuki ni wakati wa kumcash in.
Kwani wewe ulitarajia Barca afungwe na man U?hata tungeweka kikosi C players wenu manual wakanyanyue chuma huko Las Vegas
Ha ha sawa kuna siku utakimbia humu nakwambiaKwani wewe ulitarajia Barca afungwe na man U?hata tungeweka kikosi C players wenu manual wakanyanyue chuma huko Las Vegas
Sent using Jamii Forums mobile app
sio rahisi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aahg acha aende tu ..Barcelona itabaki kuwa strong milele.Catalunya radio wamesema deal la Neymar kwenda PSG liko mbioni kukamilika. Inasemekana ni chanzo cha kuaminika.
Ni wachezaji wetu walienda onloan huku walikonimemuona varmaleen hv huyu bado hajaondoka? Munir?
kwa mbio alizonazo inatakiwa awe ana overlap sana-mipira ya nowadays overlapping defenders ndio wana cause havoc-unless kama winger wako ni NeymarSemedo leo kwenye left wing ameifanyia haki sana
Yeah ame defend sana na hakupiga cross sanakwa mbio alizonazo inatakiwa awe ana overlap sana-mipira ya nowadays overlapping defenders ndio wana cause havoc-unless kama winger wako ni Neymar