FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna sehem nimeona ame cancel commercial appearance yake in china kwa sabab inasemekana atakuwa "busy na transfer business" according to Reuters so kuna asilimia nying asiwepo next season mambo yakienda sawa! So let's pray cause our club now is being the center of drama cause of him!
 
Nimeona ka video. Semedo aliamua kujiondokea dogo kataka kumfuata. Mara kavua jezi na kuanza jupiga mpira. Huyu dogo tukibaki naye atatuletea picha mbaya. Naanza kutilia shaka msemo wa nobody is bigger than barca.
Mimi ninavyowajua viongozi wa Barca wanaweza mwachia Neymar bila kumpata Verrati au Coutinyo au Dyabala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamuache amfatishe tule mzee anaempelekesha kama remote dani alves anaetafuta pension ya kustafia
 
Andreas Iniesta club Captain mkataba wake unaisha Juni 2018 (amebakiza miezi 11) kuanzia January 2018 anaweza akaingia mkataba na timu yeyote .Batromeo haeleweki anafanya nini Barcelona
 
Na pengine analazimisha auzwe hela yoyote ambayo PSG watatoa-i smell a rat-yaani Barcelona FC leo tunapelekeshwa.Tuombe mungu MSN inakuwa disbanded strikers wetu wasije kuwa kama BBC.
Yaani hata usiogope huyo dogo hana effect sana ,tena ningekua mimi Bartmeo ningeharakisha sana jamaa wasije wakaghaili bahati haiji mara mbili

Statistics za leo:internet poll inaonyesha Neymar anachukiwa kwa 91% kwa sababu kwenye transfer yake hajaiheshimu club
 
Blogger mmoja kasema" For any footballer,playing for a club of Barcelona,s stature is a reward in itself,begging him to stay is itself an insult to the club". Yaani Neymar kawavuruga viongozi na wana Barca na sasa anaivuruga dressing room
 
hamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
 
Huyu dogo fala sana...asepe zake huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hata hapa bongo tukifanya poll anaangukia pua ,character ni sababu kuu ya kuwa player wa Barca we mtu kama Iniesta utamuambia nini wakati yeye ndio alifunga goal pekee la ushindi Spain ikachukua world cup na Euro lakini they are so humble ,au unamuonaje Messi yuko so humble akina Macherano pia ,kuna mtu alikua mshenzi kama Suarez?lakini sasa hivi anaendana na culture za Barca
Huyu dogo ameshazoea kucheza nje ya uwanja acha aende kwenye league 1 ya malofa (in mkapa voice)
Tena si anaingia Paris acha akatanue starehe awache wazee wasukume ngoma lakini ushauri aendako ajue kuna Edison Cavani,Kuna player wa world cup championship dogo Draxler ,kuna Verrati pia
So far PSG na Man city ni mtu na ndugu yake ,mpira sio fedha peke yake hivi vilabu vingekua vimeshachukua kila kitu inachohitaji
 
Another twist to the saga,La liga wanataka kui report PSG kwa kujaribu kutwist sheria za financial fair play. Wanadai wanafanya hivyo kuulinda mpira Spain cause wanadai leo Barca kesho could be another team.This saga itaivuruga Barca
 
hamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
Nahisi Neymar analeta taabu hili aondoke kwa amount hiyo-cause mchezaji akitaka kuondoka anaondoke-contracts are worthless piece of papers nowadays
 
Another twist to the saga,La liga wanataka kui report PSG kwa kujaribu kutwist sheria za financial fair play. Wanadai wanafanya hivyo kuulinda mpira Spain cause wanadai leo Barca kesho could be another team.This saga itaivuruga Barca
Kina Batromeu wanajaribu kuwatumia viongozi wa La Liga wafanye huo mchezo lakini PSG wana option ya kumsajili Neymar bila kuvunja sheria za FFP.Kama Barca wangeweka release clause kubwa sidhani kama PSG wangejaribu kutaka kumnunua,angalia release clause Perez alizoweka kwenye mikataba ya wachezaji wa Real Madrid
RC.png
 
hamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
Mpira ni pesa ,PSG wako tayari kutoa hicho kiasi kwa sababu wana uhakika kuja kwa Neymar atawasaidia kuingiza fedha nyingi na pia kuwashawishi baadhi ya WC players kutoka South America.PSG ina mashabiki wengi sana Brazil kuliko France na sasa wana wachezaji karibia 5 toka Brazil (Lucas,TSilva,Maquinos,D.Alves,Maxwell).Kibaya zaidi hao wamiliki wa PSG ni wadhamini wa Barcelona
 
PSG fan base yao bado sana tena by a long way-ukiniambia wamiliki wanamwaga pesa bila kutegemea financial returns hapo nitakuelewa
 
hamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
Release clouse inasema 222m. Unataka kumvalue neymar na kina pogba. PSG walipe 222m au watupe verrati na 120m tukanunue winger wa kushoto. Hata coutinho atatufaa.
 
Release clouse inasema 222m. Unataka kumvalue neymar na kina pogba. PSG walipe 222m au watupe verrati na 120m tukanunue winger wa kushoto. Hata coutinho atatufaa.
Mkuu tupo wote kwenye hili na mimi nataka watupe hiyo 120 na mzee wa kuingia uvunguni verrati halafu sisi tunaenda kuchukua dybala asiejua kupandisha soksi na coutinho halafu ataona mpira mwingi tunaopinga......
 
Mpira ni pesa ,PSG wako tayari kutoa hicho kiasi kwa sababu wana uhakika kuja kwa Neymar atawasaidia kuingiza fedha nyingi na pia kuwashawishi baadhi ya WC players kutoka South America.PSG ina mashabiki wengi sana Brazil kuliko France na sasa wana wachezaji karibia 5 toka Brazil (Lucas,TSilva,Maquinos,D.Alves,Maxwell).Kibaya zaidi hao wamiliki wa PSG ni wadhamini wa Barcelona
Mkuu kwenye udhamini hapo nadhani umeteleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom