mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Ha ha bad news kwa Neymar technically dili lake lishafeli PSG hawataki kulipa hiyo release clause ya €222M
Bart amewajibu simple if you want Neymar pay that amount kwa wasiojua huwezi kutoa fedha ndefu kiasi hicho bila kuvunja FFP (financial fair play ) laws so PSG kumbe walikuja na proposal ya wachezaji kadhaa(Demaria akiwemo but Verrati excluded ) ili kupunguza buy out clause
Kupitia this saga tumeshamjua who is Neymar Jr na ambition yake kumbe ni hela na sio mpira ,kwenye league 1 France hivi alishawahi kutoka mchezaji bora?naomba mnikumbushe ,halafu mniambie lini mara ya mwisho team ya France ilichukua UEFA
Neymar respect yake irudi anatakiwa a prove otherwise
Sent using Jamii Forums mobile app