FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

dyabala replacement ya neymar tena tutaenjoy sana MSD halafu coutihno mrithi wa iniesta hao wawili lazima watue barca aiseee...ndio maana madrid wamemuwahi yule dogo vicnic jr wa kibrazil
 
Neymar kanywa sumu mwenyewe alafu watu mnategemea Barcelona ndiyo itakayokufa...ngoja tusubiri..."everything happens for a reason"...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dyabala replacement ya neymar tena tutaenjoy sana MSD halafu coutihno mrithi wa iniesta hao wawili lazima watue barca aiseee...ndio maana madrid wamemuwahi yule dogo vicnic jr wa kibrazil
Mambo yatakuwa powa tu, ngoja mfumo mpya tuusubiri..."hakuna marefu yasiyokuwa na ncha"...Mwisho wa MSN ni mwanzo wa Mfumo mwingine "MSD" or whatever....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuna speculation nyingi sana lakini mambo yameshaiva kuna signings za big players wawili kbla ya ijumaa next week na kabla mwezi haujaisha tuna drop big name lingine Fireeeee
Wachezaji wazuri kuliko neymar ni Ronaldo na messi tu,sasa huyo mchezaji fire ndio nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa T.O kama shuleni kwenu unakuwa wa 2,
Acha dogo akajenge ufalme wake PSG
Pale Messi ana magoli zaidi ya 500 na bado anafunga kila siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati yeye ana 105 misimu 4
Kwa Hesabu za Memkwa misimu 16 inahitajika ampite Messi [emoji849][emoji849][emoji849]
Hata mimi ningeondoka
 
Woyoooooooooooooooooooo

Paris J'arrive

El Classico imekuwa nyepesi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kumbe baba yake alikuwa hataki aondoke Barça
 
Woyoooooooooooooooooooo

Paris J'arrive

El Classico imekuwa nyepesi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kumbe baba yake alikuwa hataki aondoke Barça
kuondoka kwa Neymar kunaweza sababisha mumkose Mbappe. Usiwe unashangilia msiba wa jirani.
 
kuondoka kwa Neymar kunaweza sababisha mumkose Mbappe. Usiwe unashangilia msiba wa jirani.

Mbappé mchukueni nyie
Asensio anatosha kuwatengeneza kama juzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alichowafanya
 
Mbappe hajakaa ki Barca Barca kabisa ni mchezaji wa Madrid

Barca watamchukua Dembele ndio wanampenda
 
Naona watu wa Catalunya wameanza kumuita "MoNeymar"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…