FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Juventus yamuweka sokono Dybala

MUUNGWANA BLOG / 36 minutes ago...

Bei ya Paulo Dybala wa Juventus ni euro milioni 140.

Juventus ya Italia imeiambia Barcelona, kama inamtaka mshambulizi huyo kwa kuwa Neymar anaondoka, iweke fungu hilo mezani.

Barcelona inaonekana imepania kumpata Dyabala na mambo yakishindikana chaguo la pili ni Coutinho wa Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app


dyabala replacement ya neymar tena tutaenjoy sana MSD halafu coutihno mrithi wa iniesta hao wawili lazima watue barca aiseee...ndio maana madrid wamemuwahi yule dogo vicnic jr wa kibrazil
 
Barca fans mmeshikwa balls mnatapatapa kinoma,nachoweza kuwaambia tu ni kuwa mpaka imefikia hapa ni sawa na kuku katiwa kisu tayari damu zinamwagika anatapatapa.

Yani lazima asepe oneni huyu chizi wa FA ya Spain anavyotapatapa.

Wao walipowataka wachezaji wa timu pinzani waliwaforce watishie kuvunja mikataba,nakumbuka Henry,Helb na boya Fabregas walivyotufanyia.

Kumbe wahenga wanawakuta mpaka wazungu, Muosha huoshwa pia.....

View attachment 557159
Neymar kanywa sumu mwenyewe alafu watu mnategemea Barcelona ndiyo itakayokufa...ngoja tusubiri..."everything happens for a reason"...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dyabala replacement ya neymar tena tutaenjoy sana MSD halafu coutihno mrithi wa iniesta hao wawili lazima watue barca aiseee...ndio maana madrid wamemuwahi yule dogo vicnic jr wa kibrazil
Mambo yatakuwa powa tu, ngoja mfumo mpya tuusubiri..."hakuna marefu yasiyokuwa na ncha"...Mwisho wa MSN ni mwanzo wa Mfumo mwingine "MSD" or whatever....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuna speculation nyingi sana lakini mambo yameshaiva kuna signings za big players wawili kbla ya ijumaa next week na kabla mwezi haujaisha tuna drop big name lingine Fireeeee
Wachezaji wazuri kuliko neymar ni Ronaldo na messi tu,sasa huyo mchezaji fire ndio nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata awe nje ya barca still in the presence of messi and ronaldo neymar hawezi kuwa mchezaji bora. Going out of barca does not mean that you're running away from messi in fact it's a lot more hard for you when you try to compete messi when you are not ronaldo. So I think huyu jamaa anatafuta club anayoweza kuandika rekolodi zake na akaabudiwa and of course not at camp nou ( new field ) labda at PARC des princes ambapo ataweza vunja record za watu not at SANTIAGO BERNABEU or NEW FIELD. Of course Kama zlatan aliabudiwa basi yeye itakuwa a lot more.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kuwa T.O kama shuleni kwenu unakuwa wa 2,
Acha dogo akajenge ufalme wake PSG
Pale Messi ana magoli zaidi ya 500 na bado anafunga kila siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati yeye ana 105 misimu 4
Kwa Hesabu za Memkwa misimu 16 inahitajika ampite Messi [emoji849][emoji849][emoji849]
Hata mimi ningeondoka
 
Woyoooooooooooooooooooo


Paris J'arrive




El Classico imekuwa nyepesi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kumbe baba yake alikuwa hataki aondoke Barça
 
Screenshot_20170804-011914.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woyoooooooooooooooooooo


Paris J'arrive




El Classico imekuwa nyepesi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kumbe baba yake alikuwa hataki aondoke Barça
kuondoka kwa Neymar kunaweza sababisha mumkose Mbappe. Usiwe unashangilia msiba wa jirani.
 
Mbappe hajakaa ki Barca Barca kabisa ni mchezaji wa Madrid

Barca watamchukua Dembele ndio wanampenda
 
Naona watu wa Catalunya wameanza kumuita "MoNeymar"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom