Leo unayasema hayo maneno kwakua anahama?Wachezaji wazuri kuliko neymar ni Ronaldo na messi tu,sasa huyo mchezaji fire ndio nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaongea sana aise lakin najua imewachoma ...msicheze na pesa hata siku moja...messi ilianza dalili ndo mkamuandalia mkataba fasta akasaini ..wakat neymar anakuja mlikua mnashangilia akifunga magoli na hadi.kufikia kumuita pele mdogo,leo anaaondoka ndo mnaanza kusema hana lolote? Hahahha give me a break [emoji23][emoji23][emoji23]Sifa ya legend wa Barca unafanyiwa special farewell siku ukiagwa ,uliza Neymar ameagwa wapi?Mazoezini kwenye uwanja wa Tito Vilanova na sio Camp Nou
Hadi Velverde amekaa na dogo kidogo tu akaona hamna kitu hapa aliomba ku train na kucheza match ya Charity(Barca Vs Champeocoese) jmos amekataliwa
View attachment 557587
Hatuchomi tunakuletea wewe unae zipenda uvaeEti nasikia pia mnachoma jezi zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chomeni zote tu
What goes around always comes around
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnazichoma na mnazionyesha kwenye akaunti zenu za twitter yani kwamba mna hasira eti...mimi nipeleke wapi jezi la mtu ambae hayuki kwenye timu husika...PESA ni PESAHatuchomi tunakuletea wewe unae zipenda uvae
Hahahaha mkuu umeongea penyewe haswaPoleni sana Barca i know how it feels najua mnatafuta kila neno mjifariji kwa msiba huu ila ukweli unabaki mmeonja ladha ya sifongo kwa kikombe kile kile ambacho mnatumia kuwanyweshea wenzenu,Neymar kuondoka ni habari ila kununua mkataba wake ni habari ya kusisimua na ni dharau kubwa kwa Barca na kwa jinsi dogo alivyowahenyesha kwenye zoezi la kumtoa Brazil amefanya damage kubwa so far naamini mtajifunza kitu kwenye kuwalinda key players wenu.
Nawashauri ni bora mlie kwa sauti na mpaka machozi yaishe itapunguza maumivu ila kujifariji kua Neymar sio pengo ni unafiki,hakuna wa kuziba pengo hili kwa sasa maana baada ya CR7 na Messi anafuata Neymar niwatakie kila la heri kwenye zoezi la kwenda kuwaumiza wanyonge maana hasira zenu kuna timu zitamwaga machozi pia.
Hii ni FC BARCELONA special Thread sasa nashngaa nyie Manyumbu huku mmekosea njia sijuiHahahaha mkuu umeongea penyewe haswa
wanaenda kuwaumiza liverpool kwa coutinho, lakini liverpool.wamesema HE IS NOT FOR SALE.
What goes around always comes around
[emoji3][emoji3][emoji3]Tuna 'pop' mashampen huko Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni FC BARCELONA special Thread sasa nashngaa nyie Manyumbu huku mmekosea njia sijui
Puppet wa zito umepanic [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hivi nyie washabiki wa Madrid mmeijua Barca baada ya kuja Neymar au mnaongea tu ili harufu ya mdomo iwatoke?
Ha ha ma legend wa Barca wako kwenye list Neymar hayupo na hakua na hiyo character
Acha kujiabisha utaonekana mpira umeanza kuujua 2014
Hivi nyie washabiki wa Madrid mmeijua Barca baada ya kuja Neymar au mnaongea tu ili harufu ya mdomo iwatoke?
Ha ha ma legend wa Barca wako kwenye list Neymar hayupo na hakua na hiyo character
Acha kujiabisha utaonekana mpira umeanza kuujua 2014
It sounds bro rationally pambana na hali yenuPointless.