FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi nyie washabiki wa Madrid mmeijua Barca baada ya kuja Neymar au mnaongea tu ili harufu ya mdomo iwatoke?
Ha ha ma legend wa Barca wako kwenye list Neymar hayupo na hakua na hiyo character
Acha kujiabisha utaonekana mpira umeanza kuujua 2014
 
Madrid pambaneni na hali yenu mbaya wenu kabisa ni Messi ,Neymar has never been a threat ro Los Blancos ,Messi hata perez hua anamuota usiku anakuja kumkaba na ameshajaribu 3 times ammsajiri akachemsha ,huyo Neymar muacheni PSG akae msimu mmoja tu mkimjaribu lazima aje Bernabeu najua ndio mnachokifurahia
Screenshot_2017-08-04-06-13-24-1.png
 
Screenshot_2017-08-03-21-30-21-1.png

This picture talks alot ha ha ha
Huwezi kukikwepa kivuli cha Messi kama umezaliwa kwenye era hii yake labda unywe sumu ufe fasta then uzaliwe upya hata Ronaldo analijua hilo

Kitendo cha kuzaliwa tu wakati Messi anacheza mpira is a big mistake ingekua inawezekana ingerudi unakotokea

Sasa Messi atacheza natural position yake kama hajagunga goli kuanzia 80 ,labda aumie
 
Sifa ya legend wa Barca unafanyiwa special farewell siku ukiagwa ,uliza Neymar ameagwa wapi?Mazoezini kwenye uwanja wa Tito Vilanova na sio Camp Nou

Hadi Velverde amekaa na dogo kidogo tu akaona hamna kitu hapa aliomba ku train na kucheza match ya Charity(Barca Vs Champeocoese) jmos amekataliwa
Screenshot_2017-08-04-06-19-39-1.png
 
Sifa ya legend wa Barca unafanyiwa special farewell siku ukiagwa ,uliza Neymar ameagwa wapi?Mazoezini kwenye uwanja wa Tito Vilanova na sio Camp Nou

Hadi Velverde amekaa na dogo kidogo tu akaona hamna kitu hapa aliomba ku train na kucheza match ya Charity(Barca Vs Champeocoese) jmos amekataliwa
View attachment 557587
Mtaongea sana aise lakin najua imewachoma ...msicheze na pesa hata siku moja...messi ilianza dalili ndo mkamuandalia mkataba fasta akasaini ..wakat neymar anakuja mlikua mnashangilia akifunga magoli na hadi.kufikia kumuita pele mdogo,leo anaaondoka ndo mnaanza kusema hana lolote? Hahahha give me a break [emoji23][emoji23][emoji23]
nikubali kukulipa mshahara wa bilioni 1.5 za kitanzania kwa wiki halafu eti huna lolote?

What goes around always comes around
 
Eti nasikia pia mnachoma jezi zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chomeni zote tu

What goes around always comes around
 
Eti nasikia pia mnachoma jezi zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chomeni zote tu

What goes around always comes around
Hatuchomi tunakuletea wewe unae zipenda uvae
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Poleni sana Barca i know how it feels najua mnatafuta kila neno mjifariji kwa msiba huu ila ukweli unabaki mmeonja ladha ya sifongo kwa kikombe kile kile ambacho mnatumia kuwanyweshea wenzenu,Neymar kuondoka ni habari ila kununua mkataba wake ni habari ya kusisimua na ni dharau kubwa kwa Barca na kwa jinsi dogo alivyowahenyesha kwenye zoezi la kumtoa Brazil amefanya damage kubwa so far naamini mtajifunza kitu kwenye kuwalinda key players wenu.
Nawashauri ni bora mlie kwa sauti na mpaka machozi yaishe itapunguza maumivu ila kujifariji kua Neymar sio pengo ni unafiki,hakuna wa kuziba pengo hili kwa sasa maana baada ya CR7 na Messi anafuata Neymar niwatakie kila la heri kwenye zoezi la kwenda kuwaumiza wanyonge maana hasira zenu kuna timu zitamwaga machozi pia.
 
Hatuchomi tunakuletea wewe unae zipenda uvae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnazichoma na mnazionyesha kwenye akaunti zenu za twitter yani kwamba mna hasira eti...mimi nipeleke wapi jezi la mtu ambae hayuki kwenye timu husika...PESA ni PESA

What goes around always comes around
 
Poleni sana Barca i know how it feels najua mnatafuta kila neno mjifariji kwa msiba huu ila ukweli unabaki mmeonja ladha ya sifongo kwa kikombe kile kile ambacho mnatumia kuwanyweshea wenzenu,Neymar kuondoka ni habari ila kununua mkataba wake ni habari ya kusisimua na ni dharau kubwa kwa Barca na kwa jinsi dogo alivyowahenyesha kwenye zoezi la kumtoa Brazil amefanya damage kubwa so far naamini mtajifunza kitu kwenye kuwalinda key players wenu.
Nawashauri ni bora mlie kwa sauti na mpaka machozi yaishe itapunguza maumivu ila kujifariji kua Neymar sio pengo ni unafiki,hakuna wa kuziba pengo hili kwa sasa maana baada ya CR7 na Messi anafuata Neymar niwatakie kila la heri kwenye zoezi la kwenda kuwaumiza wanyonge maana hasira zenu kuna timu zitamwaga machozi pia.
Hahahaha mkuu umeongea penyewe haswa
wanaenda kuwaumiza liverpool kwa coutinho, lakini liverpool.wamesema HE IS NOT FOR SALE.

What goes around always comes around
 
Hivi nyie washabiki wa Madrid mmeijua Barca baada ya kuja Neymar au mnaongea tu ili harufu ya mdomo iwatoke?
Ha ha ma legend wa Barca wako kwenye list Neymar hayupo na hakua na hiyo character
Acha kujiabisha utaonekana mpira umeanza kuujua 2014
Puppet wa zito umepanic [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Yaani unaonyesha kabisa jambo hili limekuboa wala hujifichi, kadri unavyozidi Ku respond transfer ya mkali neymar, naona ndiyo unapotea na points za msingi huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie washabiki wa Madrid mmeijua Barca baada ya kuja Neymar au mnaongea tu ili harufu ya mdomo iwatoke?
Ha ha ma legend wa Barca wako kwenye list Neymar hayupo na hakua na hiyo character
Acha kujiabisha utaonekana mpira umeanza kuujua 2014

Pointless.
 
Neymar replacement zake ni kibao!!

1. Dyabala...MSD
2. Dembele...MSD
3. Coutinho.....
4. Mbappe.....
5. Hazard.......

Kati ya hao 1 au 2 lazima watie timu Barcelona.

Wana Madrid tulieni tu hii ndio Barca chama kubwa. Huo mpunga wa Neymar Barca watashusha vifaa hadi mtashangaa wenyewe.

JPM KAMATA WEZI
 
karma is b!tch
licha ya kuipenda barcelona
ila naipenda zaidi Arsenal yangu
ndio maana kila msimu nitanunua Jersey ya timu yangu
ila Barcelona mliigeuza academy mkawa mnatuchukulia key players tangu gio hadi tom
ule ulioniumiza ni wa cesc japo chogo aliondoka ila sababu zilieleweka
round hii mjue machungu maana mnamnyatia bellerin ila mmempoteza Neymar

mbaya zaidi kanunua mkataba
Neymar hamuwezi messi
ila ronaldo hamuwezi neymar

baada ya figo anafuata neymar kwa kuchukiwa barcelona
ila tambua usajili wa neymar utaziumiza baadhi ya timu zetu pendwa epl
 
Back
Top Bottom