FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1.Coutinho ni majeruhi hajagoma ku-train na Liverpool

2.Dembele alisimamishwa na Dortmund kushiriki shughuli zote (training,match) zinazohusiana na klabu
 
katika sajili ya kipuuzi hiii ni balllaaaa ! unamsajili mchezaji mwenye miaka 29 kwa €40m.This is stupidness na kuna dalilli ya Fraud huyu rais wa barca hana budi asepe.¿ tuna kina marlon rafinha na wengine kama ni swala la biashara.Huyu kocha hatochukua mda kwa sababu bodi ndio inasajili kwa matakwa yao.Gudiola alikuwa anawaaambia namtaka mchezaji fulani na sio bodi kununua wachezaji inao wataka wao.sasa zeee kama paulinho unatarajia litafanya nin.kocha amewaaambia namtaka inigo martinez wenyewe wanamleta paulinho. Ndo ubaya wakuokota makocha kutoka tym ndogo wanakuwa hawana uwezo wa kuichallenge bodi
 
Ni ko very optimistic na huu usajili. Who scored.com. inasema yuko very strong kwenye Tackling na passing hasa short passes. Wanamsifu kuwa hana significant weakness. Msimu uliopita kapiga mechi 20. Katoa assist 2 na kufunga golu saba.

K
Kumbuka anacheza soka China baada ya kuchemsha soka la ulaya
 
Kesho najua Vidal/Semedo watamdhibiti Ronaldo vilivyo huku Marcelo na Ramos wakilambishwa nyasi na king Messi. Kati nyuma kuna PiTiti! Nasikia Modric yuko suspended hatacheza. Kati kwetu Iniesta, Rakitic na Busquets wako fiti kuanza. Sioni hawa wateja wetu wakichomoka kesho. Del boy vs Carvajal!!.
Can't wait!!!!! everlenk tunaenda kukulipizia walichokufanya jumanne.
 
Kat ya vitu ambavyo wana fail kwenye utawala huu n kariba ya wachezaj wanaonunuliwa na wanaouzwa.. Inackitsha sana... Varmalein tulipigwa kibut safar hii tena zee lingne.... Yawezekana mishara midogo ama yawezekana pia tunataka ku stick na la masia kwa hyo wakongwe wanakuja kukomaza vijana wetu... Hatujui nia ya board yetu.. Lets wait japo paulinho amekua na msim bora kabsa kwa zaid ya two last season.. Good morning people of bantu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hmna kitu ni kilaza
 

Paulinho Sio Level Za Barca Nilitegemea Dili La Neymar Marco Verat Angekuwemo Mana Anapenda Kwenda Barca
 
Coutinho Vipi?
Asked about Coutinho’s transfer request, which was emailed to Michael Edwards, Liverpool’s sporting director, Klopp said: “I didn’t get it but I can say something that is maybe more important. As a manager of a football club I have bosses, and if bosses decide, for example, just in general, if we sell a player or we don’t sell him, then I have to accept it. I cannot say anything about it [the transfer request]. I work with the players I have – that is what I’m always doing.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…