Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye national timu kacheza mechi 47 na goli 9 not bad for a central midfielder.
We acha tu mkuu hawa mediocres sijui wa nini hata mwenyewe nashangaa akina Sergio Roberto ,Samper,Arena,iniesta,Basquets,Rakitic (central midfielders ) wamejaa kibaoWanini sasa huyo, ingawa pia simujui kimpira yukoje...but ni Mzee ana 29 kama sikosei, atakaa misimu mingapi...na kuuzwa sh. Ngapi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kwa maoni yao ya kibiashara lazima timu iwe na mchezaji wa timu ya taifa ta Brazil.Sababu yoyote ile iliyoifanya board ya Barca kumsajili paulinyo lazima itakuwa ya kipumbavu tu, what a shame
Ni kweli kwa sasa tunautwanga mbichi. Lakini usajili una siasa na mambo mbalimbali. I hope ataupiga mwingi. Dani Alves kampita miaka mitano lakini bado anaupiga wa kutosha. Ajichukua €230k per week.Mi nimesoma hapo kwenye signature yako tu, Usipouanika utautwanga mbichi.
Yupo Dogo Alcantara nadhani anatoshaNafikiri kwa maoni yao ya kibiashara lazima timu iwe na mchezaji wa timu ya taifa ta Brazil.
Haiwezi ikawa hivyo, board ipo desperate tu, barca ina viungo wazuri kuliko paulinyo sasa wao wana mnunua wa nini? Kama suala ni kuwa na mbraziki, mbona rafinya yupoNafikiri kwa maoni yao ya kibiashara lazima timu iwe na mchezaji wa timu ya taifa ta Brazil.
Hachezi timu ya Taifa.
Unasajiri wachezaji kutoka China ili uchukue uefa champions league, acheni utaniPaulinho in da house....
Ngoja tusubirie
We tulia kapambane na hali yako kwani umesikia Paulinho atakua first eleven?Unasajiri wachezaji kutoka China ili uchukue uefa champions league, acheni utani
Sent using Jamii Forums mobile app