barca tuna mambo mengi sana ya kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barca tuna mambo mengi sana ya kufanya
Messi tena, watatuua mwaka huudaaah nasikia jamaaa wanamtaka mess in exchange for coutinho, Nahis wamechanganyikiwa
Ni night mare nafikiri ndo inamsumbua Huyu Klop...Messi ni Lamasia Damu damu na maisha aliyonayo Messi ndiyo Barcelona. Alishasema atastafia soka akiwa CampNou...Messi tena, watatuua mwaka huu
Hii mistake hata mimi naikubali kabisaKosa kubwa sana Barca walilifanya kumuuza huyo dogo ndio alikuwa mrithi sahihi wa Xavi
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Ha ha another joke pleaseMessi tena, watatuua mwaka huu
Tatizo mzigo tuliokua nao mkuu ,mzigo umetiwa na Muarabu wanauonea wivu watu wengineUsajili wa mwaka huu sitausahau kamwe, kila tawi halishikiki
Akija itakuwa vzrHa ha another joke please
Hivi Messi si ndo barcelona?au ndio ile design kama hautaki kitu unafanya kituko tu
Nimefurahi sana Coutinho alipo press "transfer request form" ngumu ya hii form ni official request ambayo inafika hadi kwenye chama cha soccer cha England kuhusu demand ya mchezaji chama fulani so Liverpool wanatakiwa wawe wapole.....halafu jamaa hana mambo mengi ya kibishoo
Niishawahi kumsikia steven Gerald anasema last week "kuwa wabrazil wengi wakiwa nyumbani kwao tangu wadogo dream yao ni kuchezea FCB so hatutakua na nguvu sana yakumzia Coutinho "
Coutinho nafsi yake imeghaili kukaa club ambayo imeshazoea kutokuchukua vikombe ,wamuache dogo aje theatre of dreams FCBAkija itakuwa vzr
Liverpool uhuni hadi kwenye mambo muhimuView attachment 563389
Liverpool wameshazoeleka kwa kauli zao
Huu sasa utaninasikia bellerin ndani ya nyumba
sure, Rennes. Asante kwa usahihiNadhani ulikua unamaanisha Rennes
Siyo kwamba EV aliona ana kiwango kiduchu?Huu sasa utani
Semedo alisainiwa baada ya bellerin kukataa kujiunga na Barca
Na sisi tupunguze dau-Ngoja tuone watamwambiaje tena...
Kaomba kusepa mwenyewe sasa....![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo hauitaji hasira,Dembele amedelete BVB katika profile zake twitter na instagram