Atkins Mendel
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 616
- 755
Huu ni mda wa kuigekuia Lamasia, mchezaji kama Dembele alinunuliwa kwa €15mil, half leo hii auzwe zaid ya €100mil, uwezo wake hauendani na thaman ya hela inayotakiwa, tatzo si pesa tatzo ni kwamba usajili wa NEYMAR kwenda psg umeathr usajili kwa kiwango kikubwa.To be honest issues za Dembele na Coutinho zinazidi kuwa complicated
Tatizo team nyingi zinajua tuna fedha ndefu
Kwa mfano Dembele ni wa kununuliwa €150M?kama sio uchizi nini bora dadake tutulie tu na hela zetu ,hata huyo Coutinho from €45M to 120????
Maamuzi magumu yanahitajika
Sent using Jamii Forums mobile app