FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

20799911_1611662235574391_5452777303865136838_n.jpg
 
View attachment 568152
Kocha nadhani hua anaingia kichwani mwangu hii march kwa kumuanzisha S Roberto na Macherano tayari tumeshashinda
Formation yakuzivunja full back zote tayari ni ushindi ,fake RB na LT viungo wengi katikati ni overwhelming game ,high pressing ,attack attack Forca Barca

Match prediction Barcelona 4-Madrid 1
Ahahaaaah...
Tunafukua fukua makaburi kidogo..!
 
Haya haya wana amsha amsha amsha kwenye playground yetu Bernabeu tunaua nakuchinja kabisa tunatenganisha kiwiliwili na kichwa
Ohoooh
Kocha makosa ya first match hajaweza kuyarekebisha kwa siku 3 lets wait season tunaanza jpili wakuu we love barca for worse and good we support you
Wewe jamaa haueleweki kabisa...
Ni makosa ya kocha au wachezaji wa Barca wanakosa motivation..!?
 
FORCA BARCA FORCA BARCA. Coutinho na Dembele hao wanakuja, tukipata na kiungo mmoja wa kulia tumemaliza usajili, mi naamini tuna timu nzuri ila sehemu izo zina mapungufu
 
Kwa Mara ya kwanza namuona mshabiki anayejiita mwekundu alivyo na roho ngumu ya kutokubali kushindwa..
Kila mtu mpira kauona...kwa sasa hivi Madrid wapo vizuri tofauti na Barcelona..hata Kama ukiwa mpz wa Barcelona inabidi sometimes ukubali na kusema ukweli.

Mi nimefungwa na Real madrid kwenye super cup lakini ukweli Jamaa walideserve bila ubishi wapo vizuri kuliko sisi.

..That's football mate!
 
Back
Top Bottom