Ahahaaaah...View attachment 568152
Kocha nadhani hua anaingia kichwani mwangu hii march kwa kumuanzisha S Roberto na Macherano tayari tumeshashinda
Formation yakuzivunja full back zote tayari ni ushindi ,fake RB na LT viungo wengi katikati ni overwhelming game ,high pressing ,attack attack Forca Barca
Match prediction Barcelona 4-Madrid 1
We ni mchele hata kauli zako tu zinajitosheleza ,kalia mchanga ukisugue
Best year ya Madrid anaifunga Barca goal 2 ,Best year ya Barca Madrid anakula 5-0,4-0,6-2
Tutakutana tu hizi ni challenges ndogo sana with time we resolve it
Naomba usini quote aise hata team yako mshikaji siijui
OhooohHaya haya wana amsha amsha amsha kwenye playground yetu Bernabeu tunaua nakuchinja kabisa tunatenganisha kiwiliwili na kichwa
Wewe jamaa haueleweki kabisa...Kocha makosa ya first match hajaweza kuyarekebisha kwa siku 3 lets wait season tunaanza jpili wakuu we love barca for worse and good we support you
Sasa mbona ni jambo la kawaida tu hilo mkuu..!Kama umeangalia mechi hii..kuna sehemu alijifanya km anampa mpira messi(kwa mikono)..messi alipotaka kuuchukua jaa akautupa yan..tafuta clip yake..au mdau mwenye nayo anaweza kuiweka hapa uone..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usini quote aise hata team yako mshikaji siijui
Wewe mwehu...Babu umefika mjini 2014 utasimulia nini zaidi ya Neymar