Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
View attachment 568152
Kocha nadhani hua anaingia kichwani mwangu hii march kwa kumuanzisha S Roberto na Macherano tayari tumeshashinda
Formation yakuzivunja full back zote tayari ni ushindi ,fake RB na LT viungo wengi katikati ni overwhelming game ,high pressing ,attack attack Forca Barca
Match prediction Barcelona 4-Madrid 1
Haya haya wana amsha amsha amsha kwenye playground yetu Bernabeu tunaua nakuchinja kabisa tunatenganisha kiwiliwili na kichwa
We uliwahi kukaa lini ukajipinda ukaandika thread hivi na ukaikubali Barca kuwa wanacheza mpira mzuri?hypocrite mashabiki wa man mna uhusiano mkubwa sana na Madrid ,kuhusu kufa kwa Barca kila mwaka mnatabiri sana na ku wish ife but We riseKwa Mara ya kwanza namuona mshabiki anayejiita mwekundu alivyo na roho ngumu ya kutokubali kushindwa..
Kila mtu mpira kauona...kwa sasa hivi Madrid wapo vizuri tofauti na Barcelona..hata Kama ukiwa mpz wa Barcelona inabidi sometimes ukubali na kusema ukweli.
Mi nimefungwa na Real madrid kwenye super cup lakini ukweli Jamaa walideserve bila ubishi wapo vizuri kuliko sisi.
..That's football mate!
Nashangaa amewekwa nje weka mchezaji azoee el clasicoSemedo bonge la Fullback. Marcelo hajakohoa.
We uliwahi kukaa lini ukajipinda ukaandika thread hivi na ukaikubali Barca kuwa wanacheza mpira mzuri?hypocrite mashabiki wa man mna uhusiano mkubwa sana na Madrid ,kuhusu kufa kwa Barca kila mwaka mnatabiri sana na ku wish ife but We rise
Nyie Madrid tumewafunga mara ngapi goli 4,5 etc kuna mtu alitabiri li team lenu limekufa?yeah so hiyo unayoiota sio analysis ya team yetu ,you are so biased
Issue unaposema barca inakufa mara ngapi Madrid tunawafunga lakini hamna mtu ametabiri their demise,team ikifungwa ndo changamoto kama unajua situation yetu jinsi ilivyo sasa hivi ungesita sana kutoa hiyo conclusionBasi mimi kwa taarifa yako kule Spain zile mbili mimi nipo upande wa Barcelona bro..tokea enzi za Rivaldo anacheza Barcelona..Siku zote Barca ndio wanacheza mpira mzuri kuliko Madrid sema msimu huu jamaa wapo vizuri..
kunjua roho kubali tu bro...huu mpira tu wala hakuna unacho loose chochote.
Kumtaja rivado hakukufanyi ujipe hati miliki ya ushabiki wa barca inshort hatukutambuiBasi mimi kwa taarifa yako kule Spain zile mbili mimi nipo upande wa Barcelona bro..tokea enzi za Rivaldo anacheza Barcelona..Siku zote Barca ndio wanacheza mpira mzuri kuliko Madrid sema msimu huu jamaa wapo vizuri..
kunjua roho kubali tu bro...huu mpira tu wala hakuna unacho loose chochote.
Issue unaposema barca inakufa mara ngapi Madrid tunawafunga lakini hamna mtu ametabiri their demise,team ikifungwa ndo changamoto kama unajua situation yetu jinsi ilivyo sasa hivi ungesita sana kutoa hiyo conclusion
Hatukatai tumefanya mistakes lakini sio kwa kiasi hicho uwe rational kidogo unapofanya analysis yako ,ndio kwanza tunaunda kikosi baada yakubomolewa for the past 2 seasons
Hata kampeni ya Bartameur out kiini chake bi transfers za players in and out kuna alot of mistakes
Kumtaja rivado hakukufanyi ujipe hati miliki ya ushabiki wa barca inshort hatukutambui
Watu tuna membership card ww Baki na utahira wako wa kuropoka ropokaWewe Barcelona wanakutambua?...
Aya mkuu mapito ipende team yako kama kawaida , we unajua tangu Rossel aende jela hadi management imekua changamoto ,Messi tunamtesa sana pale katikati hadi namuonea hurumaHamna sehemu niliyosema Barca inakufa kk..pitia comments zangu zote.
Najua ni kipindi cha mpito barca itarudi kama sisi sasa hivi tunavyoanza kurudi.
Mkuu una hasira nao kwasababu walikukebehi mno na man u yenuHahahaaa!!! Wahenga wanasema wakati ukuta, vilevile wanasema kutesa kwa zamu. Watu mnajifanya wajuaji wa soka, eti soka la lamasia, na bado uefa mtachezea nyingi mpk mshike adabu zenu, mnaongea porojo mtafikiri mpira mnacheza nyie, kumbe nyuma ya keyboard.
Sent using Jamii Forums mobile app