FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Right winger yetu imekuwa ya moto/fire. Semedo anakinukisha kule. Ila Paco sijamuona.
 
Yeah ila left and right flank zijapendezwa nazo
Hivi kwanini huyu Alcacer asingeingizwa Dennis Suarez?
Nafikiri Right flank tuko vizuri. Na mimi nimewaza. Deniis ataupiga kuliko Paco. Timy yetu bado kali, na si kwamba betis ni wabovu. Hapana. Sisi wakali.
 
Hii midfield ya roberto nzuri sana. Inabidi roberto awe mbadala wa iniesta. Raki wawe wanapokezana na Paulinho.
 
Ha ha ha umemsimulia vizuri sana in real time Messi kagonga mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…