mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
We vumilia tu kama wachezaji watatua tuHayo maneno yako yameshakuwa kama taarabu unayaimba sana lakn hmna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We vumilia tu kama wachezaji watatua tuHayo maneno yako yameshakuwa kama taarabu unayaimba sana lakn hmna jipya
Eeeh nimekumbuka kipindi kile Messi tunamuingiza wakati yuko majeruhi kabla hata ya dada Neymar hajakujaHuu mwaka tunachukua vikombe vyote vikubwa, mark my words and this comment
Mankumbuka kipindi Bayern walitupiga 7-0 agrigate? Watu wote walichonga oh Barca kwishney, blablaa kibao, msimu uliofuata tukaonda na treble
Mashabiki wa Barca msife moyo, najua inauma kufungwa na Madrid mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja lakini haya machungu Madrid wameugulia katika kipindi cha miaka tisa
We demu wako yule uliemzalisha ukamtelekeza anakurafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pa1 na kuwa ronaldo aliondoka man utd kuelekea Madrid, bado tunamheshimu, na tunampenda, huo ndiyo uanamichezo, maisha lazima yaendeleee. Neymar kuondoka barca msimuwekee chuki, kwanza hawajui, kingine haisadiii kwani barca siyo ahera
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Barca wanampandishia dau PSG hukuona hilo? Aliyeua kwa upanga na yeye unamuhusu.Kuhusu transfer kabla ya tarehe 31st ahadi iko pale pale tunavunja kibubu cha muarabu mzigo wa haja ,tatizo kila mtu anautamani sana nabanatupandishia bei
Mkuu about Neymar tumeshamsahau kwanini unankumbuka sana kama unamtaka mnunueni basi MadrididiotsWakati Barca wanampandishia dau PSG hukuona hilo? Aliyeua kwa upanga na yeye unamuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kujua ni kwamba Ronaldo hakuondoka kihuni kama alivyofanya Neymar. Neymar left through a back door, wakati Ronaldo alikutanisha viongozi wa Madrid na Man uPa1 na kuwa ronaldo aliondoka man utd kuelekea Madrid, bado tunamheshimu, na tunampenda, huo ndiyo uanamichezo, maisha lazima yaendeleee. Neymar kuondoka barca msimuwekee chuki, kwanza hawajui, kingine haisadiii kwani barca siyo ahera
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umeanza kumuongelea.Mkuu about Neymar tumeshamsahau kwanini unankumbuka sana kama unamtaka mnunueni basi Madrididiots
Hilo goli sidhani kama Messi ndio aliyefunga. Angalia vizuriMessi ameshatupia tayari
Own goal, nilikuwa sijaona replay