FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huu mwaka tunachukua vikombe vyote vikubwa, mark my words and this comment

Mankumbuka kipindi Bayern walitupiga 7-0 agrigate? Watu wote walichonga oh Barca kwishney, blablaa kibao, msimu uliofuata tukaonda na treble

Mashabiki wa Barca msife moyo, najua inauma kufungwa na Madrid mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja lakini haya machungu Madrid wameugulia katika kipindi cha miaka tisa
Eeeh nimekumbuka kipindi kile Messi tunamuingiza wakati yuko majeruhi kabla hata ya dada Neymar hajakuja
Nakumbuka hata robo tuliingia tia maji kwa goli la ugenini ,ama kweli Messi ametuvumilia na kutubeba sana
 
Wazee Semedo na Macherano leo wanaanza karibunia tuangalie hame tamu from right flank na RB wa ukweli
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuhusu transfer kabla ya tarehe 31st ahadi iko pale pale tunavunja kibubu cha muarabu mzigo wa haja ,tatizo kila mtu anautamani sana nabanatupandishia bei
 
Pa1 na kuwa ronaldo aliondoka man utd kuelekea Madrid, bado tunamheshimu, na tunampenda, huo ndiyo uanamichezo, maisha lazima yaendeleee. Neymar kuondoka barca msimuwekee chuki, kwanza hawajui, kingine haisadiii kwani barca siyo ahera

Sent using Jamii Forums mobile app
We demu wako yule uliemzalisha ukamtelekeza anakurafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mna wish sana kuiona the end ya Barca lakini wapi ....when you going high we rise
 
Npo kwenye screen tayari kuisubiria match ya Laliga ya kwanza ya team bora kabisa kutokea uso wa dunia
 
Pa1 na kuwa ronaldo aliondoka man utd kuelekea Madrid, bado tunamheshimu, na tunampenda, huo ndiyo uanamichezo, maisha lazima yaendeleee. Neymar kuondoka barca msimuwekee chuki, kwanza hawajui, kingine haisadiii kwani barca siyo ahera

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kujua ni kwamba Ronaldo hakuondoka kihuni kama alivyofanya Neymar. Neymar left through a back door, wakati Ronaldo alikutanisha viongozi wa Madrid na Man u

Hata hivyo hakuna anayemchukia Neymar, ni maisha aliyochagua.......... Messi anagomba mwamba pale, almanusura apate goal
 
Back
Top Bottom