FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca 2 -Real Betis 0
Tunasuka team bado inatosha sa kwa leo
 
FACT: Messi jana amepiga posts mara 3,ni mara ya kwanza katika career yake oooh so unlucky
 

Huyu jamaa anazidi ku confirm jinsi gani hana discpline
Ni mara ya 18 Laliga na mara ya 23 Red card katika career yake
 

Hadi Modric alishangaa kwanini anapewa yellow peke yake ,referee akampiga na red (ni straight red card in short)
 
Dah!, jana Neymar kapiga goli hat trick na assists mbili. He worth 222m.
 
Nasikia leo tutamsajili Jean michael Seri. Kiungo wa Nice na Ivory Coast.
 
We demu wako yule uliemzalisha ukamtelekeza anakurafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mna wish sana kuiona the end ya Barca lakini wapi ....when you going high we rise
Mi sijamzalisha yule, alinisingizia. Kala hela yangu sana. Barca mshaishiwa, zitto akipewa uwaziri rudi jukwaa LA siasa uanze kumsifia. Huku thread hamna kitu [emoji205] [emoji205] [emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijamzalisha yule, alinisingizia. Kala hela yangu sana. Barca mshaishiwa, zitto akipewa uwaziri rudi jukwaa LA siasa uanze kumsifia. Huku thread hamna kitu [emoji205] [emoji205] [emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha mzee wa vipusa upi?ulinichekesha sana kipindi kile ama kweli ujana maji ya moto[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…