Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
The spirit waliyonayo Bernabéu sasa hivi msimu huu sahau kitu chochote kinachoitwa tittle
Kabisa, lakini kama Barcelona wakimpata Coutinho. They can close the gap.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The spirit waliyonayo Bernabéu sasa hivi msimu huu sahau kitu chochote kinachoitwa tittle
Ha ha nyie last season hatujakaa vizuri mlipata ubingwa kuanzia dk ya 30 match ya mwishondo ulinganishe na msimu huu tunaingia fit?sahau na magoli ya offside yenuThe spirit waliyonayo Bernabéu sasa hivi msimu huu sahau kitu chochote kinachoitwa tittle
Kabisa, lakini kama Barcelona wakimpata Coutinho. They can close the gap.
wewe lazima utakuwa na vijinasib vya Elton John
Ha ha nyie last season hatujakaa vizuri mlipata ubingwa kuanzia dk ya 30 match ya mwishondo ulinganishe na msimu huu tunaingia fit?sahau na magoli ya offside yenu
Gomes alicheza sababu anatakiwa kuuzwa. Ilikuwa kumuongezea thamani. Vidal ni sababu Semedo alionekana bado kuzoea timu. Magoli yenu yote yalipita kwa Vidal. Uliona jinsi Semedo alivyomdhibiti Marcelo. Dembele naye akimpin down Carvajal mtakuwa na pakutokea?. Ile Barca mliyoifunga haikuwa kwenye ubora wake.Kwani Gomes na Vidal ni wachezaji wa Manchester city? Okay why were they on the pitch then?
williams ni mzuri sema ni winga. Halafu kunasheria kuwa wachezaji toka ulaya wasizidi watatu kwenye timu, hiyo inatubana sana kwenda A. Kusini. Sema hii board nayo inataka kusaini majina makubwa ili kuficha uzembe wao.Kwa nini tunamng'ang'ania coutinho ili hali kuna wachezaji kibao tu ambao wana viwango vizuri na bei ni poa? Yaani pesa zote tulizopata kwa Neymar jr ziishie kwa wachezaji wawili tu? Mchezaji kama Williams wa Atletico club ni mzuri kuliko Cou na hana bei kubwa. Pia hawezi kukataa offer ya kuichezea barca.
Huku Amerika ya kusini kuna wachezaji wengi tu wazuri na wanafit kwa soka la kispania. Kuanzia lugha na aina ya mpira. Twende kule hatutakuta. Tusibabaike na majina makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Still loong way to go. Real Madrid is complete team wakati Barcelona wanafikiria how they can fix their squad. No wonder Coutinho akaja akaflop too. We angalia mtu kama Arda Turan alivyokuwa anaupiga Atletico, kaja pale kawa galasa
Last season yule dogo alieondoka alitulisha sana nywele ,we are very hungry this seasonNo, this season will be different maana tunakupiga point 6
Yule dogo anaanguka sana hana stamina ,pass accuracy mbovu na scoring zero kabisa last season nilikua nam observe sana ;ni mediocre na experience hana atleast Dembele amewasumbua sana UEFAKwa nini tunamng'ang'ania coutinho ili hali kuna wachezaji kibao tu ambao wana viwango vizuri na bei ni poa? Yaani pesa zote tulizopata kwa Neymar jr ziishie kwa wachezaji wawili tu? Mchezaji kama Williams wa Atletico club ni mzuri kuliko Cou na hana bei kubwa. Pia hawezi kukataa offer ya kuichezea barca.
Huku Amerika ya kusini kuna wachezaji wengi tu wazuri na wanafit kwa soka la kispania. Kuanzia lugha na aina ya mpira. Twende kule hatutakuta. Tusibabaike na majina makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ni kwa nini kocha anamwanzisha Vidal wakati anajua ni uchochoro wa ukweliGame zimebakia dakika 45 itapigwa katika dimba la Mendizorraozi Vs Alves
First 11 hii hapa :Smedo na Paulinho watatokea nje naona kocha anaumwa ugonjwa wa Aleix Vidal amuulize Lucho na Gomez Andres wake
View attachment 575508
Gom
Gomes alicheza sababu anatakiwa kuuzwa. Ilikuwa kumuongezea thamani. Vidal ni sababu Semedo alionekana bado kuzoea timu. Magoli yenu yote yalipita kwa Vidal. Uliona jinsi Semedo alivyomdhibiti Marcelo. Dembele naye akimpin down Carvajal mtakuwa na pakutokea?. Ile Barca mliyoifunga haikuwa kwenye ubora wake.
Hahahahah. Kupata kichekesho kingine kama hiki mPM PAGAN . Kwanza kesho hamna Ronaldo wala Ramos. Sijui kama mtatoka kwa Valencia.