FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

The spirit waliyonayo Bernabéu sasa hivi msimu huu sahau kitu chochote kinachoitwa tittle
Ha ha nyie last season hatujakaa vizuri mlipata ubingwa kuanzia dk ya 30 match ya mwishondo ulinganishe na msimu huu tunaingia fit?sahau na magoli ya offside yenu
 
Kabisa, lakini kama Barcelona wakimpata Coutinho. They can close the gap.


Still loong way to go. Real Madrid is complete team wakati Barcelona wanafikiria how they can fix their squad. No wonder Coutinho akaja akaflop too. We angalia mtu kama Arda Turan alivyokuwa anaupiga Atletico, kaja pale kawa galasa
 
Kwa nini tunamng'ang'ania coutinho ili hali kuna wachezaji kibao tu ambao wana viwango vizuri na bei ni poa? Yaani pesa zote tulizopata kwa Neymar jr ziishie kwa wachezaji wawili tu? Mchezaji kama Williams wa Atletico club ni mzuri kuliko Cou na hana bei kubwa. Pia hawezi kukataa offer ya kuichezea barca.

Huku Amerika ya kusini kuna wachezaji wengi tu wazuri na wanafit kwa soka la kispania. Kuanzia lugha na aina ya mpira. Twende kule hatutakuta. Tusibabaike na majina makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe lazima utakuwa na vijinasib vya Elton John


No maam, I'm a straight guy. Ningekuwa na hivyo unavyosema could not be a big deal, huku niliko it's free to live the life you choose
 
Ha ha nyie last season hatujakaa vizuri mlipata ubingwa kuanzia dk ya 30 match ya mwishondo ulinganishe na msimu huu tunaingia fit?sahau na magoli ya offside yenu


No, this season will be different maana tunakupiga point 6
 
Gom
Kwani Gomes na Vidal ni wachezaji wa Manchester city? Okay why were they on the pitch then?
Gomes alicheza sababu anatakiwa kuuzwa. Ilikuwa kumuongezea thamani. Vidal ni sababu Semedo alionekana bado kuzoea timu. Magoli yenu yote yalipita kwa Vidal. Uliona jinsi Semedo alivyomdhibiti Marcelo. Dembele naye akimpin down Carvajal mtakuwa na pakutokea?. Ile Barca mliyoifunga haikuwa kwenye ubora wake.
 
Will
williams ni mzuri sema ni winga. Halafu kunasheria kuwa wachezaji toka ulaya wasizidi watatu kwenye timu, hiyo inatubana sana kwenda A. Kusini. Sema hii board nayo inataka kusaini majina makubwa ili kuficha uzembe wao.
 
Still loong way to go. Real Madrid is complete team wakati Barcelona wanafikiria how they can fix their squad. No wonder Coutinho akaja akaflop too. We angalia mtu kama Arda Turan alivyokuwa anaupiga Atletico, kaja pale kawa galasa

Lets wait and see, how the season pan out.
 
No, this season will be different maana tunakupiga point 6
Last season yule dogo alieondoka alitulisha sana nywele ,we are very hungry this season
Nitatangaza habari za Coutinho before jumanne ujio wake
 
Update ya Coutinho :Barcelona na Liverpool wamejifungia kutwa nzima ,inakadiliwa deal litafikia £120M plus variables
Soon moshi mweupe kwenye jumba la mapapa litatoka by next sunday Cot anatakiwa awe Camp Nou.

Inasemekana Andres Gomes ataongezwa ili tupunguze dau daah afadhari Mungu wee saidia huu mzigo
 

Huyu ndio aliyefanikisha deal la Dembele kutua Barca anaita Javier Port Bray
Ideology:aliambiwa amtafute mchezaji mwenye characteristics kama za Neymar amlete pale Nou Camp kukiwa na option ikiwezekana amlete aliye bora kushinda Neymar ili gap lizibwe it was a tough job congratulations

Ninapowaambia Cot lazima ang'oke liverpool i mean it ,Cot ilikua lazima aje pale hata kama Neymar asingeondoka so transfer yake ni exceptional and compusory we lack offensive midfielder lazima aletwe
 
Yule dogo anaanguka sana hana stamina ,pass accuracy mbovu na scoring zero kabisa last season nilikua nam observe sana ;ni mediocre na experience hana atleast Dembele amewasumbua sana UEFA
 
Game zimebakia dakika 45 itapigwa katika dimba la Mendizorraozi Vs Alves
First 11 hii hapa :Smedo na Paulinho watatokea nje naona kocha anaumwa ugonjwa wa Aleix Vidal amuulize Lucho na Gomez Andres wake
 


No body can buy such kind of cheap excuse, we were better than you that's why we won. Jipangeni acheni kutafuta visingizio Real Madrid hii inafight until the end hakuna kurusha mate
 
Hahahahah. Kupata kichekesho kingine kama hiki mPM PAGAN . Kwanza kesho hamna Ronaldo wala Ramos. Sijui kama mtatoka kwa Valencia.


Ndio hapo ujue Real Madrid hawana visingizio kama nyinyi eti sijui Semedo na Vidal. Pale Bernabéu kuna watu wako bench wanaombea mwingine aumie apate chansi ya kuonyesha cheche. Au umesahau tumekupiga bila Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…