AmenThe boss of midfield
He was the natural heir of Xavi Hernandez and that is
Alcantara
Sent using Jamii Forums mobile app
Coutinho kashasajiliwa?Amesajiliwa au unamchezesha barca kwenye FIFA 17
Cotinho kuna negotiations zinaendelea.
Thiago alikuwa blaugrana ndio maana nikatamani angekuwepo mpaka sasaCotinho kuna negotiations zinaendelea.
Vp kuhusu Thiago?
Kwann unatamani na kukiweka katika uhalisia kitu kisichowezekana.?Thiago alikuwa blaugrana ndio maana nikatamani angekuwepo mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha mkuu jaribu kuwa muelewa.Cotinho kuna negotiations zinaendelea.
Vp kuhusu Thiago?
Nothing impossibleKwann unatamani na kukiweka katika uhalisia kitu kisichowezekana.?
Imani yako inaweza hamisha milima
Poa funga na kusali
Bartomeu na board yake pia waliamini Neymar hatoondoka mpaka wakasema they are 200% sure ney is staying kwakuwa waliamini no team is willing and able to activate buying clause of NeymarPoa funga na kusali
Inigo ni defender siyo midfielderInigo martinez alikuwa mbadala mzuri wa Verrati kama angechezeshwa midifield dimaria umri umeeenda ana 31yrs niko tayari kusahihishwa ktk yrs. sasa hawa wazee wa nini tumekuwa bianconery
kwani masherano ni mid lkn anachezeshwa beki nimejaribu kumuangali Inigo anauwezo kucheza mid vizuri ksma verrati
Hata haieleweki mkuu, mie nasubir hadi dirisha lifungweCoutinho vp?
Nimeipata hiyo! Haka kadogo sijui kanataka sifa, hakajui kwamba karibu kila mchezaji popote alipo anandoto ya kuchezea Barca?. Emu katuachie tutengeneze time yetu bwana. "Binafisi inasemekana Coutihno hatorudi Liverpool baada ya hiyo international break". Ngoja tusubiri.Arda Turani : To Monaco kabla ya ijumaa
Updates za Coutinho Neymar amempa ushauri Coutinho asiende Barcelona ,natamani sana Neymar siku aje Camp Nou halafu acheze na Semedo kama atapiga chenga hata moja sio Semedo si alikasirika mazoezini kwenye match ndo atakua anamlamba kila neymoney alichukua mpira
Yeye mbona hakubakia Barca ,atuachie team yetu ameondoka na tulishamsahau aendelee akacheze league ya wachovu league 1