FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Inigo martinez alikuwa mbadala mzuri wa Verrati kama angechezeshwa midifield dimaria umri umeeenda ana 31yrs niko tayari kusahihishwa ktk yrs. sasa hawa wazee wa nini tumekuwa bianconery
 
Jorge Mendez alishatuma Barcelona jana kwa kazi maalumu yakusafisha store, stay tuned Arda Turan,Andres Gomez ,Douglas wako sokoni...na wengine watafanyiwa switching na players wengine
Kitalia taa.....before Friday
 
Screenshot_2017-08-29-12-55-15.png

Oyooo first day workouts
Dembele
Nasikia Papa Perez alikua anamuhitaji dogo ili atuchafulie kama kawaida yake Dortmund waka cancel meeting yake hii ilikua baada ya Barca kukubaliana na Dortmund
 
Arda Turani : To Monaco kabla ya ijumaa
Updates za Coutinho Neymar amempa ushauri Coutinho asiende Barcelona ,natamani sana Neymar siku aje Camp Nou halafu acheze na Semedo kama atapiga chenga hata moja sio Semedo si alikasirika mazoezini kwenye match ndo atakua anamlamba kila neymoney alichukua mpira

Yeye mbona hakubakia Barca ,atuachie team yetu ameondoka na tulishamsahau aendelee akacheze league ya wachovu league 1
 
Nimeipata hiyo! Haka kadogo sijui kanataka sifa, hakajui kwamba karibu kila mchezaji popote alipo anandoto ya kuchezea Barca?. Emu katuachie tutengeneze time yetu bwana. "Binafisi inasemekana Coutihno hatorudi Liverpool baada ya hiyo international break". Ngoja tusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom