Kama coutinho atashaurika kwa vitu vya kijinga nae atakuwa mpuuzi sanaNimeipata hiyo! Haka kadogo sijui kanataka sifa, hakajui kwamba karibu kila mchezaji popote alipo anandoto ya kuchezea Barca?. Emu katuachie tutengeneze time yetu bwana. "Binafisi inasemekana Coutihno hatorudi Liverpool baada ya hiyo international break". Ngoja tusubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaKama coutinho atashaurika kwa vitu vya kijinga nae atakuwa mpuuzi sana
Mbona yeye hakushaurika na kina Pique, alisikiliza harufu ya Pesa akasepa, kaondoka dream team acha wenzake waje wacheze!Arda Turani : To Monaco kabla ya ijumaa
Updates za Coutinho Neymar amempa ushauri Coutinho asiende Barcelona ,natamani sana Neymar siku aje Camp Nou halafu acheze na Semedo kama atapiga chenga hata moja sio Semedo si alikasirika mazoezini kwenye match ndo atakua anamlamba kila neymoney alichukua mpira
Yeye mbona hakubakia Barca ,atuachie team yetu ameondoka na tulishamsahau aendelee akacheze league ya wachovu league 1
Yaani unashindwa hata kukashangaa haka kadogo...Kenchy type kabisa.Mbona yeye hakushaurika na kina Pique, alisikiliza harufu ya Pesa akasepa, kaondoka dream team acha wenzake waje wacheze!
Anakuwa kama mwanamke aliyemkimbia mumewe kwa tamaa ya pesa halafu anazuia wanawake wengine wasiolewe na ex wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mtoto neymar msengerema kweli mwili upo PSG akili bado anafatilia Barca....kwani alilazimishwa kuondoka yeye apambane na hali yake ya psg.
Usajiri si unafungwa kesho SAA 6 usiku feedback za coutinho vp?
Poa poa mkuuSporting director Robert alisema kila kitu kitajulikqna kesho hyo hyo...so ngoja tusikilizie
Jamaa wamesha msajiri Thomas Lemar cjui watatachia coutihno?
Tangu jumamosi imenibidi niwevnarusha updates za coutinho kila siku but before nilishanusa ujio wake na bado nina deni ili niweze kuaminika kwenu Deal la Coutinho ni doneUsajiri si unafungwa kesho SAA 6 usiku feedback za coutinho vp?