FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimeipata hiyo! Haka kadogo sijui kanataka sifa, hakajui kwamba karibu kila mchezaji popote alipo anandoto ya kuchezea Barca?. Emu katuachie tutengeneze time yetu bwana. "Binafisi inasemekana Coutihno hatorudi Liverpool baada ya hiyo international break". Ngoja tusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama coutinho atashaurika kwa vitu vya kijinga nae atakuwa mpuuzi sana
 
Arda Turani : To Monaco kabla ya ijumaa
Updates za Coutinho Neymar amempa ushauri Coutinho asiende Barcelona ,natamani sana Neymar siku aje Camp Nou halafu acheze na Semedo kama atapiga chenga hata moja sio Semedo si alikasirika mazoezini kwenye match ndo atakua anamlamba kila neymoney alichukua mpira

Yeye mbona hakubakia Barca ,atuachie team yetu ameondoka na tulishamsahau aendelee akacheze league ya wachovu league 1
Mbona yeye hakushaurika na kina Pique, alisikiliza harufu ya Pesa akasepa, kaondoka dream team acha wenzake waje wacheze!

Anakuwa kama mwanamke aliyemkimbia mumewe kwa tamaa ya pesa halafu anazuia wanawake wengine wasiolewe na ex wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yeye hakushaurika na kina Pique, alisikiliza harufu ya Pesa akasepa, kaondoka dream team acha wenzake waje wacheze!

Anakuwa kama mwanamke aliyemkimbia mumewe kwa tamaa ya pesa halafu anazuia wanawake wengine wasiolewe na ex wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unashindwa hata kukashangaa haka kadogo...Kenchy type kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4d8e56a5e28ff63001b82e3a2eca3ffb.jpg
huu usajil ukamilike tu tushachoka tetes hz
 
Hiyo mtoto neymar msengerema kweli mwili upo PSG akili bado anafatilia Barca....kwani alilazimishwa kuondoka yeye apambane na hali yake ya psg.
 
Hiyo mtoto neymar msengerema kweli mwili upo PSG akili bado anafatilia Barca....kwani alilazimishwa kuondoka yeye apambane na hali yake ya psg.
cc2e5cde0bf818b274221276a24f31b4.jpg


Hawa ndio waliotoa hiyo ripoti jana na wameomba radhi ,makosa ya media yanaweza kuleta madhara kweli magu wakati mwingine yupo sahihi


Hivyo mkaushie dogo hakusema hivyo
 
Arda turani nasikia amegoma kuondoka mpk apate tym inayoweza kumlipa mshahara sawa na anaolipwa barcelona
 
Usajiri si unafungwa kesho SAA 6 usiku feedback za coutinho vp?
Tangu jumamosi imenibidi niwevnarusha updates za coutinho kila siku but before nilishanusa ujio wake na bado nina deni ili niweze kuaminika kwenu Deal la Coutinho ni done
Liverpool na Barcelona tayari wameshafika makubaliano ya mwisho jana kwa kitita cha 160 Mil Euros
Atatambulishwa rasmi ijumaa na kwa sababu yuko Brazil kwenye international break hivyo atakuja moja kwa moja Barcelona

Barcelona sasa hivi wanaangalia possibility ya ku swap Andres Gomes na Angel Dimaria na PSG bila kutoa fedha ,so tuna another confirmed signings
 
Real it is happening Cotinho in da house.....na huyu mu Argentine aje tutaimarisha sana kikosi pale katikati Messi hataumia tena kwa ku make yeye,dribbling yeye ,ku score yeye watu wote wanaojua mpira duniani knows what Messi last season up to date what was doing

Screenshot_2017-08-28-22-34-25-1.png
 
Screenshot_2017-08-30-06-12-26-1.png

Kwanini nahitaji sana ujio wa Coutinho?kupitia hii picha unaweza ukajifunza kitu in a nutshel ni kwamba

"Kila upande wa Barcelona utakua fire,tutakua tunashambulia kila upande na kila dakika kulia,kushoto bila kusahau katikati ya dimba "
Hatutatemegea upande mmoja kama kawaida yetu (left flank)

With due respect please Board mlete na huyo Mu Argentina tunajua tayari Cotinho ameshatua
 
Back
Top Bottom