FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

tutakuwa wa moto kama upako wa ngwajima yule bishoo atakuwa ana-like picha za wana tu kwenye mitandao
 
Kwann nafasi ya pique asicheze ninja maschelano
 
Reactions: PNC
Marlon ameshapelekwa kwa mkopo Nice with option yakumleta tena
So pale ni Macherano,Umtiti watakua wana swap vilevile hata siku akiumia Basquets Macherano anaweza kufit kwa sababu ni originally defensive midfielder mzee wa inteceptions
Poa poa masherano kazi kazi yule hatakagi ushoga
 
Friday wakati market inafingwa will be so official tumevumilia sana lets wait one day left but deal done
Bado mnalishana matango pori na kufarijiana nyie wakiwa pata hii update


For 100th time this window have asked LFC the Coutinho question. For 100th time same answer: “Definitive stance. No change… no sale.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo ni chris bascombe, reporter wa gazeti la telegraph kutoka viunga vya liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni shabiki wa team gan?

Uhamisho wa coutinho unakuwasha nn?

Tukilishana matango wa sources zetu za uhakika kama BBC sports na BEING sport na source yako ya mvuta bange wa Liverpool kinakuuma nn?
 
Liverpool wameiomba fc Barcelona icheleweshe kidogo dili ya coutinho ili watafute m'badala wake ambaye huende ni lemer Wa Monaco au chambelien wa Arsenal so deal ya coutinho ni almost done paundi miluoni 148 wameafikiana clubs zote mbili

eliamini
 
Liverpool wameiomba fc Barcelona icheleweshe kidogo dili ya coutinho ili watafute m'badala wake ambaye huende ni lemer Wa Monaco au chambelien wa Arsenal so deal ya coutinho ni almost done paundi miluoni 148 wameafikiana clubs zote mbili

eliamini
Dilisha linafungwa kesho kutwa sasa hapo wasipopata itakuwaje?
 
Aisee napata kama tutampata Coutihno, maana barca ktk app yao (Barcelona Live) wanasema wako kumfuatilia Lemar baada (na wamefanya mazungumzo na mchezaji na Monaco wenyewe na kuna uelekeo chanya) ya Liver kuonekana kugomea negotiations... Cjui imekaaje hii???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…