tutakuwa wa moto kama upako wa ngwajima yule bishoo atakuwa ana-like picha za wana tu kwenye mitandaoView attachment 577706
Kwanini nahitaji sana ujio wa Coutinho?kupitia hii picha unaweza ukajifunza kitu in a nutshel ni kwamba
"Kila upande wa Barcelona utakua fire,tutakua tunashambulia kila upande na kila dakika kulia,kushoto bila kusahau katikati ya dimba "
Hatutatemegea upande mmoja kama kawaida yetu (left flank)
With due respect please Board mlete na huyo Mu Argentina tunajua tayari Cotinho ameshatua