Kura imefeli mkuuEven if the Least favour this board can do us is resign kwasababu wangeweza kuepuka haya kwa kufanya kazi iliyotakiwa tangu zamani wasepe tu Ni siwezi waelewa na naamini kura ya kuwafosi waondoke itafanikiwa 120%
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe tuweke kundi gani ? Maana hata hujui ulichokiandika,Kura imefeli mkuu
Barca ndio wazinguaji mbona kama nikuelewana walikuwa tayari washaelewana na Seri pamoja timu yake, Nice. Alafu kwa uchizi wa Board wakabwaga manyanga na sababu za kijinga eti "technical reason". Fundi Xavi alishamwona dogo at least ndio mchezaji wa kaliba yake, alafu barca wakaleta sababu ambayo haipo....Hadi Barca walichangia ingawa management yake walichangia kuongeza dau
Rematch ya FCB vs JUVELeo saa nne kasoro robo kytakuwa na mechi kati ya Spain na Italy.
Na iwe hivyo tu, huwezi kubaki kwenye club ambayo haina "mission" na "vision" au kama zipo hazifuatwi. Kenge kabisa hawaHayo yote tisa siyo siku nyingi tutasaga meno ukweli lazima usemwe msiseme sikuwaambia ni hivi Messi ile contract hakusaini
Yeye na Iniesta by January wanakua free players ,they can go anywhere they want
Na hii management ya kiboya sijui kama wataweza kuwazuia
View attachment 580261
I say bullshit!! Sahihi ndiyo kila kitu.
Achana na maumivu ya kutolewa mapema UEFA kwa timu kama Barca na maumivu ya kufungwa na Madrid.Usajili ushafungwa na yaliyobaki ni maneno tu sasa tujipange kama mashabiki kuisapoti timu yetu kwani yaliyopita yamepita japo haiondoi ukweli kuwa board ya usajili pamoja na Rais wa Club ni wazembe kwani wanashindwa kuendana na soko la kisasa hvyo sasa ni kujipanga kivingine ili timu yetu ifanye vzuri
Sioni sababu au faida ya kuitetea Board kwa namna yoyote ile.Hapana mkuu hapo timu yake ndo ilizingua maana ilitaka dau kubwa baada ya kuona mkwanja barca wanao na barca wakaamua kupiga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno tu baada ya usajili kuisha, Board ni wendawazimu.liver walitaka kutupiga sana aisee duu
Soler ni nani?Soler: "The transfer market is broken. The traditional clubs are no longer the protagonists, but the countries and the investment funds."
Soler: "The president and the board have asked us not to jeopardise our heritage. We have taken certain decisions to achieve this."
Soler: "Liverpool wanted €200m for Coutinho. The club decided not to continue with the operation. We will not put Barça at risk."
Soler: "When everyone knows the amount of money you have obtained, the money they ask for is exorbitant."
Soler: "We have made the most expensive signing in the history of the Club, but we do not want to put our economic viability at risk."
Soler: "We are self-critical, you can always do better."
Sent using Jamii Forums mobile app
Team yenyewe kama ndio hii kweli kuna haja ya kumrudisha David Villa