FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

tungempata yule wa liver...duh!
Ishia hapohapo...
Liverpool+v+Middlesbrough+Premier+League+xg2V3iWCuWNl.jpg
 
Messi akihama sitalaumu,Iniesta asiposaini mkataba mpya sitalaumu ila nitajisikia tu uchungu
Naomba hawa watu waondoke wabakie na li team lao hasa huyu agent wa Real Madrid Bartmeau
Si kawaletea mkali DEMBELE?
 
Usajili ushafungwa na yaliyobaki ni maneno tu sasa tujipange kama mashabiki kuisapoti timu yetu kwani yaliyopita yamepita japo haiondoi ukweli kuwa board ya usajili pamoja na Rais wa Club ni wazembe kwani wanashindwa kuendana na soko la kisasa hvyo sasa ni kujipanga kivingine ili timu yetu ifanye vzuri
 
usajili umeshafungwa,what next ni kuipa support timu yetu,bado wachezaji wazuri tunao though umri ndio unawatupa mkono

umtiti
semedo
alba
pique
vidal
mascherano


busquet
sergio roberto
iniesta
paulinho
adre gomes
rakitic
allena


messi
suarez
dembele
gerald deulofeu
denis suarez
parco alcer
arda turan


na wengine niliowasahau
 
halafu wale wasengerema wa board walikuwa wanatuambia tutasajili two or more important players watakuja kabla ya dirisha kufungwa yule raisi choko sana
Pumbavu kweli kenge yule siyo Rais bali ni kenge flani hivi aliyekengeuka kupita kenge halisi wenyewe.!!!!

"Xavi alishauri Muda tu wamsaini Jean Michael Seri!!! Lakini wapi??? Kenge kweli hawa'..…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Screenshot_2017-09-02-10-24-47-1.png

Saga linaishia hivyo ,Jamaa wako smart sana kwa spread lies nasikia low lie admistration ya barca ndo inafanya hizi propaganda
 
Nasikia Leo kuna press conference ya viongozi wa barca na baadhi yao wanadhamilia kutangaza nia ya kuachia ngazi wakiongozwa na segura sporting director yaani huu utakua upuuzi wa mismanagement ya barca kuwa na sporting directors watatu ndani ya kipindi cha miezi 32.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom