Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapa inabidi tuwe tu wapole sinaijua plan hadi sasa hivi kama Coutinho hatitia mguu BarcaBarca wameni dissapoint sana leo
Bad news :Suarez kaumia jana tena (amejitonesha ile ankle injury)
Daah hopeless now
Uefa inaanza tarehe 12 mkuumwenyew anasema co tatizo kubwa![]()
Hapana mkuu. Bodi ya Barca ikipigiwa kura ya kutokuwa na imani na sisi humu tutapiga kura ya kutokuwa na imani na mwekundu . Katuchomesha mahindi miezi mitatu. Tumekuwa kitu cha kuchekesha. [HASHTAG]#mwekunduout[/HASHTAG]Dah..poah mkuu yameisha hayo
Na nasikia tunaanzaUefa inaanza tarehe 12 mkuu
Tena tunaanza na Juventus. Paulinho na Dembele wana mechi moja tu ya tarehe 9 na Espanyol kujiintergrate kikosini. We are f**d big time.Uefa inaanza tarehe 12 mkuu
Nilishangaa!!! walimpanga wa nini? Akae tena benchi, majanga tupu!!!Bad news :Suarez kaumia jana tena (amejitonesha ile ankle injury)
Daah hopeless now
Wasengerema kupita hawa jamaa. Falsafa ya Johan Cryful ya soka la ufundi wa pasi mnyooko, goli za kumwaga, mashambulizi toka kila upande na kumiliki mpira wameliua hawa wajuvi.hii board ya kichoko sana walimfanyia fitina laporta mungu anawaumbua
Yaan walivyoniboa bado nawatafutia tusi hii Board, ngoja takuja niwatukane hawatasahau!Wasengerema kupita hawa jamaa. Falsafa ya Johan Cryful ya soka la ufundi wa pasi mnyooko, goli za kumwaga, mashambulizi toka kila upande na kumiliki mpira wameliua hawa wajuvi.
Wapuuuuziiii saana.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwamba hivi bora timu ifutwe isiwepo kabisa kuliko kututia aibu za kijinga na kujitakia namna hii.Yaan walivyoniboa bado nawatafutia tusi hii Board, ngoja takuja niwatukane hawatasahau!
Sent using Jamii Forums mobile app