FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona is still optimistic kumsajili Cotinho na leo saa sita usiku ndio mwisho wa stories zenyewe lets us hope for the final deal

Kuhusu Mahrez inasemekana alienda Barcelona, then akaenda kutua London haieleweki ataelekea wapi
Liverpool wako tayari kumuuza coutinho 2018 for now it's too late barc wameweka 150M

Qaluu lamnakuminal musswalliin
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Bartmeau anazingua sana kwakua tumesubiria sana ngoja tumalizie mkie tujue tunajipanga vipi ila management haiendani na speed ya mpira hata wachezaji wengine wakihama tusiwalaumu
Ligi ya Hispania imebakia kwa Madrid pekee....barca wameniangusha.
 
Ujinga huu sijui barca utaisha lini?. Thomas Lemar yuko poa tu kwa sababu Coutihno inaonekana hatutampata alafu atasababisha tukose hata kusajili wengine kwani muda utatuishia.

Tulikuwa tumeshaelekea kupata wachezaji wazuri tu hako nyuma kama vile Jean Michael Seri na Martinez, kwakua uongozi hauna msimamo eti baadae ukagaili.

Sasa dirisha linaenda kufungwa usiku wa Leo alafu eti bado Coutihno ni kipaumbele namba1!!!. Kama uongozi ulitakiwa ujiwekee kikomo (deadline) cha kutaka kumsajili kabla ya dirisha kufungwa then baada ya hapo tungehamishia nguvu za kusajili wachezaji wengine sehemu zingine.

Tutabaki na timu legelege na kuungaunga kama msimu uliopita hasa kwa kukosa mbadala wa Xavi na Iniesta. Bad enough tumekuwa na bench (sub) bovu/lisiloaminika kiasi ambacho hatukuwa hivo huko nyuma. Tumebahatika kupata mbadala wa Dani Alves (Semedo) na Neymar (Dembele) hata kama hawataonesha uwezo mkubwa kwa sasa lakini watakuwa vizuri zaidi kadiri muda unavoenda.

"Life+time"....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bartmeau anazingua sana kwakua tumesubiria sana ngoja tumalizie mkie tujue tunajipanga vipi ila management haiendani na speed ya mpira hata wachezaji wengine wakihama tusiwalaumu
Kibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake news
 
Ujinga huu sijui barca utaisha lini?. Thomas Lemar yuko poa tu kwa sababu Coutihno inaonekana hatutampata alafu atasababisha tukose hata kusajili wengine kwani muda utatuishia.

Tulikuwa tumeshaelekea kupata wachezaji wazuri tu hako nyuma kama vile Jean Michael Seri na Martinez, kwakua uongozi hauna msimamo eti baadae ukagaili.

Sasa dirisha linaenda kufungwa usiku wa Leo alafu eti bado Coutihno ni kipaumbele namba1!!!. Kama uongozi ulitakiwa ujiwekee kikomo (deadline) cha kutaka kumsajili kabla ya dirisha kufungwa then baada ya hapo tungehamishia nguvu za kusajili wachezaji wengine sehemu zingine.

Tutabaki na timu legelege na kuungaunga kama msimu uliopita hasa kwa kukosa mbadala wa Xavi na Iniesta. Bad enough tumekuwa na bench (sub) bovu/lisiloaminika kiasi ambacho hatukuwa hivo huko nyuma. Tumebahatika kupata mbadala wa Dani Alves (Semedo) na Neymar (Dembele) hata kama hawataonesha uwezo mkubwa kwa sasa lakini watakuwa vizuri zaidi kadiri muda unavoenda.

"Life+time"....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hata cha kuongea barca wanatuangusha sana
 
Kibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake news
Sio fake hizi ndizo habari ambazo zinanguruma duniani hadi catalonia
Action wanapaswa kuchukua wao sisi kama fans hatuna hiyo control .siku anatangazwa dembele alikuambia kuna big signings inakuja so ina maana alitudanganya fans wake?

Poleni sana ila mahrez anawafaa na dirisha la hispania limefungwa leo usiku
 
Sio fake hizi ndizo habari ambazo zinanguruma duniani hadi catalonia
Action wanapaswa kuchukua wao sisi kama fans hatuna hiyo control .siku anatangazwa dembele alikuambia kuna big signings inakuja so ina maana alitudanganya fans wake?
Ulituaminisha mno tatzo
 
Sina hata cha kuongea barca wanatuangusha sana
Ni udwanzi mtupu asee! Kabla ya Neymar kuuzwa kisingizio ilikuwa ni ukata, wakati huohuo tulikuwa na rundo la wachezaji waliokuwa wamerudi kutoka maeneo mbalimbali ambako walikuwa wakicheza kwa mkopo kama vile Velamin, Munir, etc etc etc. Sasa baada ya Ney kusepa ukata uliisha na wachezaji kibindoni kibao tu ambao walikuwa sokoni kama vile Rafihna, Arda Turan, Endrew Gomez, etc etc.

Sasa swali linakuja ni Sababu ipi ya msingi sana kwa mfano ambayo imesababisha kukosa wachezaji tuliokuwa tunawataka???? Hata ukiamwacha Coutihno. Kulikuwa na options kibao tu kama vile Davinson Sanchez, Thomas Lemar, Jean Michael Seri, Eden Hazard, etc etc etc...

"Life+time"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom