FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimezivulia kofia media za catalunya mabingwa wa ku spread lies and rumours
After closure ya transfer window tuliwalaumu Liverpool walitaka transfer fee ya £200M ,liver wakakataa
J seri akatangaziwa management iliongeza fee wakam rule out
Jana wamekuja na habari coutinho hatacheza UEFA ili wa facilitate transfer January
Ooh gosh
 

Carles Arena' remember the name ,nilimuona kuanzia match ya kwanza Lucho kamuamini akaingia kama substitution, last season alichezeshwa match mbili team ya wakubwa ,kwenye preseason akapata fursa ya kucheza 2nd half mara mbili match na Juventus pamoja na Man U
Amesainishwa mkataba jana wa miaka mi 3 with additional ya 2 years

Na release clause yake ni M 75 £
Kuna maswali mengi ya kujiuliza je Arena ana kipaji gani ambacho kinasababisha abakizwe kwenye kikosi na S.Samper aende leganes akapate uzoefu zaidi?

Robert Fernandez technical director anatanabaisha Carlos Arena ata prove uwanjani katika nafasi yake ya Offensive Midfielder
Na sisi tunahitaji makinda kama hawa kama ilivyo kwa wenzetu Madrid ambao kwa style ya ajabu kabisa wameweza kuwaibia vipaji ambavyo vilifanyiwa incubation pale kama Ansensio,Isco (ingawa alitokea Malaga)

Kwanini Sergio Samper wasiseme inatosha akuzwe pale pale Camp Nou?haya ni maswali ambayo yanaendelea kugonga kichwa vipi kuhusu Marlon naye ambaye ameenda kwa mkopo Nice???

Am commentless
 
Habari nzuri sana hizi. Uzuri Marlon na Samper hawajauzwa kabisa.
 
Alena ni barcelona B player ajasajiliwa kama first team player na samper yeye tangu mwaka jana alipandishwa na kuwa first team player na kutokana na ufinyu wa nafasi ambayo angepata akatolewa kwa mkopo granada the same to this year kaenda las palmas
Marlon pia vilevile kapandishwa mwaka huu na kutolewa kwa loan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu soma hapo juu vizuri
 
Yeah bado atakuwa kwenye B team bado hajamake kwenye senior team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…