Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa moja ya game ya kuvutia na ushindani mkali sana. Argentina watalazimisha kushinda kwa namna yoyote ile!!!
Habari nzuri sana hizi. Uzuri Marlon na Samper hawajauzwa kabisa.View attachment 583156
Carles Arena' remember the name ,nilimuona kuanzia match ya kwanza Lucho kamuamini akaingia kama substitution, last season alichezeshwa match mbili team ya wakubwa ,kwenye preseason akapata fursa ya kucheza 2nd half mara mbili match na Juventus pamoja na Man U
Amesainishwa mkataba jana wa miaka mi 3 with additional ya 2 years
Na release clause yake ni M 75 £
Kuna maswali mengi ya kujiuliza je Arena ana kipaji gani ambacho kinasababisha abakizwe kwenye kikosi na S.Samper aende leganes akapate uzoefu zaidi?
Robert Fernandez technical director anatanabaisha Carlos Arena ata prove uwanjani katika nafasi yake ya Offensive Midfielder
Na sisi tunahitaji makinda kama hawa kama ilivyo kwa wenzetu Madrid ambao kwa style ya ajabu kabisa wameweza kuwaibia vipaji ambavyo vilifanyiwa incubation pale kama Ansensio,Isco (ingawa alitokea Malaga)
Kwanini Sergio Samper wasiseme inatosha akuzwe pale pale Camp Nou?haya ni maswali ambayo yanaendelea kugonga kichwa vipu kuhusu Marlon naye ambaye ameenda kwa mkopo Nice???
Am commentless
Alena ni barcelona B player ajasajiliwa kama first team player na samper yeye tangu mwaka jana alipandishwa na kuwa first team player na kutokana na ufinyu wa nafasi ambayo angepata akatolewa kwa mkopo granada the same to this year kaenda las palmasView attachment 583156
Carles Arena' remember the name ,nilimuona kuanzia match ya kwanza Lucho kamuamini akaingia kama substitution, last season alichezeshwa match mbili team ya wakubwa ,kwenye preseason akapata fursa ya kucheza 2nd half mara mbili match na Juventus pamoja na Man U
Amesainishwa mkataba jana wa miaka mi 3 with additional ya 2 years
Na release clause yake ni M 75 £
Kuna maswali mengi ya kujiuliza je Arena ana kipaji gani ambacho kinasababisha abakizwe kwenye kikosi na S.Samper aende leganes akapate uzoefu zaidi?
Robert Fernandez technical director anatanabaisha Carlos Arena ata prove uwanjani katika nafasi yake ya Offensive Midfielder
Na sisi tunahitaji makinda kama hawa kama ilivyo kwa wenzetu Madrid ambao kwa style ya ajabu kabisa wameweza kuwaibia vipaji ambavyo vilifanyiwa incubation pale kama Ansensio,Isco (ingawa alitokea Malaga)
Kwanini Sergio Samper wasiseme inatosha akuzwe pale pale Camp Nou?haya ni maswali ambayo yanaendelea kugonga kichwa vipi kuhusu Marlon naye ambaye ameenda kwa mkopo Nice???
Am commentless
Mkuu soma hapo juu vizuriAlena ni barcelona B player ajasajiliwa kama first team player na samper yeye tangu mwaka jana alipandishwa na kuwa first team player na kutokana na ufinyu wa nafasi ambayo angepata akatolewa kwa mkopo granada the same to this year kaenda las palmas
Marlon pia vilevile kapandishwa mwaka huu na kutolewa kwa loan
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah bado atakuwa kwenye B team bado hajamake kwenye senior teamAlena ni barcelona B player ajasajiliwa kama first team player na samper yeye tangu mwaka jana alipandishwa na kuwa first team player na kutokana na ufinyu wa nafasi ambayo angepata akatolewa kwa mkopo granada the same to this year kaenda las palmas
Marlon pia vilevile kapandishwa mwaka huu na kutolewa kwa loan
Sent using Jamii Forums mobile app
No anaingizwa kwenye kikosi cha wakubwaYeah bado atakuwa kwenye B team bado hajamake kwenye senior team
Ngoja nikaipitie tena hii habari.No anaingizwa kwenye kikosi cha wakubwa
Mwaka jana tulianza kumzesha team A
Mara paaaap, ihiiiiiiiiiiiiiii.Woyooo noise makers Madrid wana suffocate na draw dk ya 90'