Current club. FC Barcelona. Position Right-Back. Nationality Portugal. Contract until 30.06.2022. imago. Player data.wakuu eeh naomben mnipe profile ya semedo km katokea wap tumemnunua kwa dau ngap nakadhalika pamoja na dembele
bila kusahau record zao
Dembele mkuu alioangushwa nakumbuka mpira ulipigwa mrefu sio kwamba tuli create clear chance kama tunavotengenezaga nafasi uko nyuma. Clear chance naona bado tatizo kwetu sababu Suarez anaibia sana pembeni kushoto anabaki messi kati.Ni kweli ila kama ni nafasi tulitengeza Mkuu. Kumbuka goli la I.Raktik, pia goli la Suarez ingawa alikuwa offside. Mbali na hizo nafasi, kumbuka Dembele aliwakosa baada ya kuangushwa na beki wa Juve ndani ya box na mpira ukawa umeenda nje (tukapata kona) kufuatia tackling ya beki wao huyo. Kadhalika pia Iniesta walimwangusha nje ya box tukapata free kick.
N.B siyo kwamba natetea, kweli mapungufu yapo kama ulivyosema ila naamini kadiri tunavyozidi kucheza mechi kibao ndio kadiri tunavyokuwa wazuri.
Pamoja mkuuCurrent club. FC Barcelona. Position Right-Back. Nationality Portugal. Contract until 30.06.2022. imago. Player data.
Age: 23
Height: 1,78 m
Name in home country: Nélson Cabral Semedo
Nationality: Portugal
Pamoja 2po Mkuu.Dembele mkuu alioangushwa nakumbuka mpira ulipigwa mrefu sio kwamba tuli create clear chance kama tunavotengenezaga nafasi uko nyuma. Clear chance naona bado tatizo kwetu sababu Suarez anaibia sana pembeni kushoto anabaki messi kati.
Tuko pamoja mkuu nashukuru kwa maoni yako mazuri, yote hii ni katika kuijenga timu yetu tusiangalie tu positive tuangalie na mapungufu tuyajadili. Nashukuru mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 588769
Ronaldo na record zake
Tuungoje performance ya Juve mechi zinazofuata ndio tu judge kama hii Barca ni invisible.Nahisi Juve are not as bad as they were made to look-time will tellDembele mkuu alioangushwa nakumbuka mpira ulipigwa mrefu sio kwamba tuli create clear chance kama tunavotengenezaga nafasi uko nyuma. Clear chance naona bado tatizo kwetu sababu Suarez anaibia sana pembeni kushoto anabaki messi kati.
Tuko pamoja mkuu nashukuru kwa maoni yako mazuri, yote hii ni katika kuijenga timu yetu tusiangalie tu positive tuangalie na mapungufu tuyajadili. Nashukuru mkuu
of course yes, Juve ni wazuri sana hasa ktk kitengo cha ulinzi. Mechi ya pili itakuwa ni kipimo kingine kwetu kuona kama Barca yetu imerudi kwenye mstari tuliouzowea.Tuungoje performance ya Juve mechi zinazofuata ndio tu judge kama hii Barca ni invisible.Nahisi Juve are not as bad as they were made to look-time will tell
Tuungoje performance ya Juve mechi zinazofuata ndio tu judge kama hii Barca ni invisible.Nahisi Juve are not as bad as they were made to look-time will tell
Kwaiyo unataka kusemaje?Sio kweli mkuu, Juventus ya sasa haiko vizuri kwenye idara ya ulinzi kutokana na mabadiliko waliyoyafanya maybe baadae wakizoeana.
Soma swali mkuu hapo juu ndo nimemjibu mkuu apo kwa uelewa wangu.Kwaiyo unataka kusemaje?
Hata Barca Dembele hajazoea na Suarez bado ni ring rusty-wakikaa sawa inaweza kuwa hatari.Defence ishakaa sawa-total shutout no sniff of goal-observers wanasema things can only get betterSio kweli mkuu, Juventus ya sasa haiko vizuri kwenye idara ya ulinzi kutokana na mabadiliko waliyoyafanya maybe baadae wakizoeana.
Kweli Kabisa.Hawa Getafe salama yao kesho ni kwamba manager ana plan wholesale changes kwa timu-hence wanaweza fungwa the odd goal or two
Bench: Cillessen, Semedo, Mascherano, Paulinho, Denis, André Gomes and Deulofeu.